Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,168
- 15,748
- Thread starter
- #41
👇👇👇👇, Naona hapa pazingatiwe zaidi, ingawa kuna process kadhaa zinahitaji subira ya kutosha.Ni sahihi ila wanawake nao wana moyo na machaguo yao kwahiyo hakikisha wewe ni chaguo lake isiwe kaja kwako kwa kua umetangaza ndoa.
Wadada wengi huwa wanauwezo wa kuwaacha watu wanaowapenda na kufuata ndoa huku wakiamini wanaweza kujifunza kupenda wakiwa ndani ila wakikuta ndoa ilivyo ni tofauti na matarajio yao basi hapo ndio mambo huwa tofauti.
Usikubali hili likukute so usiwe mwepesi wa kutangaza ndoa ila anzisha mahusiano na uache vitu viende venyewe mjikute mmeshaoana.