Kweli wengine ni ndugu zetu na namba yo ao inaongezeka kwa kasi.Kuna ex wangu moja ,aliondokaga kwa kashfa kurudi kwa ex wake. Baada miezi kama nane akampigwa chini na yule ex wake, karudi kwangu turudiane, nimempotezea mwaka wa nne huu ,mwaka jana akaniambia kama vipi anibebee mimba yangu kama ukumbusho nimemkatalia. Niliblock namba zake nyingi, ila baadae nikaamua ni muache so akipiga sometimes na chuna,sometimes na pokea.
Kuna mademu wengine wamekata tamaa ya kuolewa nao wanataka watoto,huu mtego niliuruka na wapo vizuri kiuchumi, hizi milioni milioni sio issue. Ila nikiwangalia naona bora ni nyuti.