Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

Na wanawake waliojaa hivyo
Mwenzio last week niliingia live moja tik tok na nka comment kwenye post ya masuala ya uchumba FB hapa napoongea na wew nna message zaidi ya 80 za wanawake wanataka ndoa najibu moja moja huku najisemea mwenyewe hiiiiiii
 
Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa.


. Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na kwa kweli naona kabisa nimeanza kuchoka kutafuta mke wa kuoa . Nahitaji mke ambaye tunalingana kitabia na kimtazamo kwa kiasi fulani. Sitaki mtu mwenye hasira za haraka au mwenye ukaidi au asiye na kifua( kilopo lopo). Nahitaji mke mwenye Uelewa wa maisha, mtunza siri za maisha na anayeweza kulea familia kwa ufasaha ikiwezekana kabisa asiwe anacheza VIKOBA.


. Kila uhusiano nitakaogusa naona kabisa huyu hafai kuwa mke bali anafaa kuwa mwanamke katika upande wa kiburudisho tu, ni ajabu sana aise,


. Cha kuchekesha kwa sasa ni kwamba nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na rafiki yangu wa kike ambaye tumedumu naye kwenye mambo kadhaa ya biashara lakini bado naona hafai kuwa mke bali naona anafaa kuwa mwanamke tu. Wakati mwingine najihisi mjinga kwa kujaribu kuwa naye.

WanaJF, Inakuwaje kuwaje mpaka unafika hatua ya kusema yes huyu ndiye anafaa kuwa mke/mume wangu..??? 🤔🤔🤔
Hapo kwenye kutafta mke bado hujakutana na wadada wapiga vizinga, aloo 😁 Nyafwili
 
Na wanawake waliojaa hivyo
Mwenzio last week niliingia live moja tik tok na nka comment kwenye post ya masuala ya uchumba FB hapa napoongea na wew nna message zaidi ya 80 za wanawake wanataka ndoa najibu moja moja huku najisemea mwenyewe hiiiiiii
😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅. Naona umeamua kumiliki bomu ya nyumba Sasa.
 
Kweli nimeamini unaloliona rahisi kwako kwa wengine ni gumu...Mbona mabint ni wengi sana waliotayari kuolewa?
Ugumu upo kwa upande wa wanawake kuolewa japo wengi wapo tayari, ila kwa upande wa wanaume ni rahisi sana kupata mke mwenye sifa zote za kuwa mke

Alafu kudumu na binti wa watu sana bila kumuoa sio sababu ya kumfanya kipimo kwa wanawake waliobaki maana mwanamke anapozidi kukaa mtaani peke yake ndivyo anazidi kuharibika kimwili na kiakili lakini anaimarika kiakili akiwahiwa kuolewa
Asante
 
Hao wanawake walio tayari kuolewa hawana sifa ... wanaenda kukupa laana ya mafanikio tu huko ndoani...wengi wanaotaka kuolewa ni wale ambao wanataka kupumzika maisha ya anasa sio kutaka kuolewa .Halafu ni ngumu sana kutafuta mke wa kuoa kwa mwanaume pale unapojiona nioe sasa .wengi wanaoa hawajaamka wakaenda barabarani na kutafuta wake, muda mwingine ni bahati , muda mwingine watu wanafanya maamuzi ya wale ambao amekwisha kuwa nao na kuona yupi ana nafuu.

Enzi zangu za chuo nishakutana na wanawake wanaofaa kuolewa sio kutaka ... hao waliolewa muda mfupi tu baada ya kumaliza ila wale masista duu sasa .. sasa hivi wanataka kuolewa wanavyopuyanga sasa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
Acha nikubali kutokubaliana
 
Kwa utafutaji huo wa mke inaonyesha unataka mkamilifu, wakati ukamilifu upo mbinguni..kila mwanadamu ana upungufu wake kwa hiyo tafuta mwanamke umpendaye kwa kuwa na vigezo vichache vyenye kuufurahi Moyo wako uwapo karibu yake na yeye awe ni mwenye kukuheshimu yaani mwe ni wenye kuelewana..mengine ni kuvumiliana maana hakuna mkamilifu zaidi ya hapo utakuwa unamtafuta malaika.
Sio mimi bwwashee
 
Ss mfano umesema mtu asicheze vikoba, mf mm thru vikoba mjengo unakaribia kuisha useme hakifai ntakuelewa kaka?
Vikoba vina mtu na mtu, wengine huwa ndo njia ya kuuza nyap kiholela ili apate hela ya Vikoba..
 
Vikoba vina mtu na mtu, wengine huwa ndo njia ya kuuza nyap kiholela ili apate hela ya Vikoba..
Sasa kama mtu hana shughuli yyte mjini hapo kweli, ila sio mtu anahustle zake unakuja kumkataza, trust me kuweka mavigezo meng ndo kunatuchelewesha. Me mwanaume akisema hapati mke simuelewi kabisa kwa wanawake sawa mana hatutongoz
 
Ningekupa mdogo wangu lakini hodi ni nyingi sana tunachambua kampenda yupi. Maisha wakati mwingine ndivyo yalivyo, sijui circle yako Iko vipi. Then ongea na watu.
 
Back
Top Bottom