Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

Ningekupa mdogo wangu lakini hodi ni nyingi sana tunachambua kampenda yupi. Maisha wakati mwingine ndivyo yalivyo, sijui circle yako Iko vipi.
Huyo kujitunza na habari zake zimesambaa mtaa mzima kama angekuwa kachezewa watu wangejua pia.
 
Sasa kama mtu hana shughuli yyte mjini hapo kweli, ila sio mtu anahustle zake unakuja kumkataza, trust me kuweka mavigezo meng ndo kunatuchelewesha. Me mwanaume akisema hapati mke simuelewi kabisa kwa wanawake sawa mana hatutongoz
Basi natoa kigezo cha VIKOBA, anaweka aliyesoma au anakazi inayomuingizia kipato.

. Ingawa mimi natafuta mke wa kulea watoto, kuhusu suala la hela atazikuta kwangu.
 
Ningekupa mdogo wangu lakini hodi ni nyingi sana tunachambua kampenda yupi. Maisha wakati mwingine ndivyo yalivyo, sijui circle yako Iko vipi. Then ongea na watu.
. Niweke kwenye orodha hiyo mkuu, ( shemeji mtalajiwa)

. Circle yangu ya maisha niya kuhamahama sana, ( Yawezekana pia ni chanzo cha kukosa mke ninaye mtaka)
 
mwanamke anapozidi kukaa mtaani peke yake ndivyo anazidi kuharibika kimwili na kiakili lakini anaimarika kiakili akiwahiwa kuolewa
📌
Hii ni kweli..
Akikaa single muda mrefu mtaani anatumika sana kwa matumizi mbalimbali hadi anaharibikiwa.

Unakuja kukuta body count yake inasoma 50+, hapo hakuna mwanamke tena, ni mtambo ambao utakushinda tu!
 
Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa.


. Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na kwa kweli naona kabisa nimeanza kuchoka kutafuta mke wa kuoa . Nahitaji mke ambaye tunalingana kitabia na kimtazamo kwa kiasi fulani. Sitaki mtu mwenye hasira za haraka au mwenye ukaidi au asiye na kifua( kilopo lopo). Nahitaji mke mwenye Uelewa wa maisha, mtunza siri za maisha na anayeweza kulea familia kwa ufasaha ikiwezekana kabisa asiwe anacheza VIKOBA.


. Kila uhusiano nitakaogusa naona kabisa huyu hafai kuwa mke bali anafaa kuwa mwanamke katika upande wa kiburudisho tu, ni ajabu sana aise,


. Cha kuchekesha kwa sasa ni kwamba nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na rafiki yangu wa kike ambaye tumedumu naye kwenye mambo kadhaa ya biashara lakini bado naona hafai kuwa mke bali naona anafaa kuwa mwanamke tu. Wakati mwingine najihisi mjinga kwa kujaribu kuwa naye.

WanaJF, Inakuwaje kuwaje mpaka unafika hatua ya kusema yes huyu ndiye anafaa kuwa mke/mume wangu..??? 🤔🤔🤔
Haya masuala yenu ya kujikuta mnachambua sana shauri zenu
.
We Jivike mabomu Kwa Imani chagua mmoja Kisha ukalipukie mbele huko
 
Shida sio mionekano. Shida ni akili za wanawake wengi hazivutii kufunga nao ndoa.

hapa Tanzania kuna wanawake wachache sana wanaofanya maamuzi au kujenga hoja kwa kutumia akili zao vizuri, wazungu wanaita Emperical reasoning.
Hii fact unayoisema wanaoiconsider hata wa5 kwenye mia hawafiki
 
Itakuwa huna hela tu jamaa yangu

Ukiwa na pesa ndoa ni nzuri sana na wanawake ni wengi sana tena watakuheshimu na kukunyenyekea sana
 
Back
Top Bottom