Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

. Sikatai mkuu, ila kwangu pesa ya kubadili mboga nakulea familia ipo mkuu, ila kimbembe kumpata mke hapo nimekwama kabisa....
okay

Sasa wewe shida yako moja tu

Hauko katika location bora na nzuri ambayo inaweza kukukutanisha na mke mwema

Huenda kazi yako haikukutanishi kabisa na warembo wa maana
 
Ulishawahi kuwa katika safari zako ghafla unakutana na mmachinga anauza nguo nzuri na ukasema hii siwezi kuiacha licha ya kuwa hukuwa na habari ya kununua nguo siku hiyo? Au siku una shughuli ukaamua kuingia madukani kusaka nguo ya kuvaa lakini huoni inayokuvutia na ni lazima upate nguo ya kuvaa..mwisho wa siku unaamua kuchukua tu inayoelekea au kwa ushawishi wa muuza duka.
 
Mwanangu hata ukimpata huyo wa vigezo bado inshue ipo haijajulikana mwanamke anataka nini
Ukioa unkurunzinza lazima uwe nao la sivyo utalia sana utaomba ushauri sana
 
. Ni kweli mkuu, ila mara nyingi mimi naweza kwenda dukani kununua vitu, lakini mwisho wa mda naludi bila kununua chochote

. Ndo maana mimi ninavyo enda kununua vitu lazima niandikie kwenye karatasi, tofauti na hapo kuludi mikono mitupu ni kawaida sana.
 
Mwanangu hata ukimpata huyo wa vigezo bado inshue ipo haijajulikana mwanamke anataka nini
Ukioa unkurunzinza lazima uwe nao la sivyo utalia sana utaomba ushauri sana
😅 😅 😅, tatizo moyo unanilazimisha nipate wa Aina hiyo mkuu.. Moyo Na umefika mbali na kusema makosa mengine yaliyo baki nitarekebisha.
 
Ukitaka kufa mapema au kuwa rofa penda kwa moyo wako tena akishajua umempenda kwa moyo wako atauchezea ,ataukojolea, ataunyea kwa kuwa anajua wewe huzunguki kabisa koki ya kufungulia na kufunga anayo

Hakikisha ukioa unkurunzinza lzm uwe nao
 
Siunaskia takwimu pia za mivunjiko zilivyo kubwaa....usiharakie sana huko mkuu, lakini hili neno sio sheria.
 
Nitaliweka moyoni, ili asijue kuwa nampenda sana, ingawa kwenye hiki kipande wanaume wengi huwa tunafeli sana...
 
Siunaskia takwimu pia za mivunjiko zilivyo kubwaa....usiharakie sana huko mkuu, lakini hili neno sio sheria.
. Mvunjiko ni mwingi sana mkuu... Ukifikiria na hili unabaki kupiga ukuta tu na ngumi.

. Yes siyo sheria, ila tunaweka tu sheria heshima ndani ya familia
 
Back
Top Bottom