Kuna broo alinambia wao wanafikiria sana sana watoto waliozaa tu, ila sisi vjana tunashindwa kuvumilia unataka kumove on fasta ukamilishe misheni zako tena ukute ni mtu wa biznes ndio kabisa hutaki kuumiza kichwa kabisaa. Unapiga chini unacheki upande mwingine then maisha yanaendelea....na wapo wanafanikiwa haswa kiuchumi kwenye hili....wenzetu ngozi nyeupe ni kitu cha kawaida tu...co parenting utafikiri hawakua wapenzi kabisa tena hata kwenye sherehe wanaalikana na picha wanapiga...sisi sasa🤗 ni vitaaaa tu. Mvunjiko ni mwingi sana mkuu... Ukifikiria na hili unabaki kupiga ukuta tu na ngumi.
. Yes siyo sheria, ila tunaweka tu sheria heshima ndani ya familia
. Nikahisi labda unataka uvute single mother 😅😅😅, kumbe unasisitiza afanye kazi kwa bidiiSingle Maza yeyote ambaye yuko serious kweli, na hataki tena utani na maisha, Na atakuwa kaamua kweli kutulia, Na kubadilika na hataman kurudi kwa Bby Dady wake basi atulie Afanye Biashara🙏😂
Vipororo kama kawaida si ndio!!Single Maza yeyote ambaye yuko serious kweli, na hataki tena utani na maisha, Na atakuwa kaamua kweli kutulia, Na kubadilika na hataman kurudi kwa Bby Dady wake basi atulie Afanye Biashara🙏😂
Ndio hawa jamaa ni watu na nusu, wao ni watu na watoto wao ni nusu nyingine. Tunawakarbisha kwenye mapambano ya kiume.. Nikahisi labda unataka uvute single mother 😅😅😅, kumbe unasisitiza afanye kazi kwa bidii
Eeeh😁Vipororo kama kawaida si ndio!!
. Mhhhhh, hii mbaya mkuu.. Rangi nyeusi tupo tofauti sana utalogwa hadi kulogwa Aise....Kuna broo alinambia wao wanafikiria sana sana watoto waliozaa tu, ila sisi vjana tunashindwa kuvumilia unataka kumove on fasta ukamilishe misheni zako tena ukute ni mtu wa biznes ndio kabisa hutaki kuumiza kichwa kabisaa. Unapiga chini unacheki upande mwingine then maisha yanaendelea....na wapo wanafanikiwa haswa kiuchumi kwenye hili....wenzetu ngozi nyeupe ni kitu cha kawaida tu...co parenting utafikiri hawakua wapenzi kabisa tena hata kwenye sherehe wanaalikana na picha wanapiga...sisi sasa🤗 ni vitaaaa tu
Wamebeba mengi sana moyoni mwao aisee, kuna dem fulani alikuwa anauza nyapu kwa siku hata mara tatu au nne , ili apate hela ya kula na Mtoto wake 😕😕Ndio hawa jamaa ni watu na nusu, wao ni watu na watoto wao ni nusu nyingine. Tunawakarbisha kwenye mapambano ya kiume.
Kama anatafuta malaya/wadangaji yaani chapa ilale ni sawa kutanguliza hela, ila mke ukitanguliza hela ushabugi. Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi na hasa changamoto za uchumi ndizo huwakimbiza wanawake.Itakuwa huna hela tu jamaa yangu
Ukiwa na pesa ndoa ni nzuri sana na wanawake ni wengi sana tena watakuheshimu na kukunyenyekea sana
Chips kidali zinaponza Kizazi hata kizazi.Wamebeba mengi sana moyoni mwao aisee, kuna dem fulani alikuwa anauza nyapu kwa siku hata mara tatu au nne , ili apate hela ya kula na Mtoto wake 😕😕
Chips kidali zinaponza Kizazi hata kizazi.Wamebeba mengi sana moyoni mwao aisee, kuna dem fulani alikuwa anauza nyapu kwa siku hata mara tatu au nne , ili apate hela ya kula na Mtoto wake 😕😕
Yale mafuta na Mayai ya Kukufala yanaacha vinasaba vya taabu maishani.Yawezekana chips ni laana, sema tunashindwa tu kujua...
Hapana bro siyo hivyoKama anatafuta malaya/wadangaji yaani chapa ilale ni sawa kutanguliza hela, ila mke ukitanguliza hela ushabugi. Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi na hasa changamoto za uchumi ndizo huwakimbiza wanawake.
Kipimo kimoja wapo unacho takiwa kumpima mwanamke ,akili yake kupitia fedha unayo mpa (tena mpe na ziada) na ustahimilivu wake wakati unapopitia changamoto za uchumi, hapa unaweza hata kumuigizia umuone heshima yake kwako itaendelea kuwa vilevile.
Mke na mchumba ni watu wawili tofauti, ila mchumba ambaye atakuwa mkeo lazima umpitishe kwenye mitihani. Ukitanguliza hela hutopata mchumba atakaye kuwa mkeo.Hapana bro siyo hivyo
Mwanamke siku zote anataka mwanaume mwenye pesa hata kama asipopewa pesa na huyo mwanamume
Lakini lazima hela kwanza uwe nayo umpe au usimpe hayo ni juu yako
Kapuku kupata mke mwema ni changamoto sana
.tuache kudanganyana
Hongera kwa hilo ila ukiwa na haraka ni ngumu kufanya hivyo. Ni kweli mkuu, ila mara nyingi mimi naweza kwenda dukani kununua vitu, lakini mwisho wa mda naludi bila kununua chochote
. Ndo maana mimi ninavyo enda kununua vitu lazima niandikie kwenye karatasi, tofauti na hapo kuludi mikono mitupu ni kawaida sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna akiliSingle Maza yeyote ambaye yuko serious kweli, na hataki tena utani na maisha, Na atakuwa kaamua kweli kutulia, Na kubadilika na hataman kurudi kwa Bby Dady wake basi atulie Afanye Biashara[emoji120][emoji23]
HAMNA kaka mkubwaaa endelea kutafuta utapata😅😅😅, nakuona kabisa unataka kunipa kesi ya unyanyasaji wa wanawake..