cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
WoiiiiiihTakbriiiiiiiii🗣️🗣️🗣️🗣️
WoiiiiiihTakbriiiiiiiii🗣️🗣️🗣️🗣️
Kumbe una miadi na Mungu bas hongeraHapana Kufa atatangulia mke wangu, siyo mimi 😋😋😋
Sawa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huna akili
Kwamba wewe ndo ulilia auTujibu kwanza vp ushwahi kulia Hadi kulazwa kwasababu ya mapenzi?
😅 😅, sina Roho ya kiarabu mkuu.. Maana mda mwingine ukibugi kuoa ndo basi tena mambo yataenda mrama miaka Nenda bila kugeuka nyuma.Haya masuala yenu ya kujikuta mnachambua sana shauri zenu
.
We Jivike mabomu Kwa Imani chagua mmoja Kisha ukalipukie mbele huko
Wewe navoona vigezo vyako, ungepata mwanamke alieolewa, akaachika au single mother,mngeendana na sio fresh mtasumbuana!Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa.
. Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na kwa kweli naona kabisa nimeanza kuchoka kutafuta mke wa kuoa . Nahitaji mke ambaye tunalingana kitabia na kimtazamo kwa kiasi fulani. Sitaki mtu mwenye hasira za haraka au mwenye ukaidi au asiye na kifua( kilopo lopo). Nahitaji mke mwenye Uelewa wa maisha, mtunza siri za maisha na anayeweza kulea familia kwa ufasaha ikiwezekana kabisa asiwe anacheza VIKOBA.
. Kila uhusiano nitakaogusa naona kabisa huyu hafai kuwa mke bali anafaa kuwa mwanamke katika upande wa kiburudisho tu, ni ajabu sana aise,
. Cha kuchekesha kwa sasa ni kwamba nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na rafiki yangu wa kike ambaye tumedumu naye kwenye mambo kadhaa ya biashara lakini bado naona hafai kuwa mke bali naona anafaa kuwa mwanamke tu. Wakati mwingine najihisi mjinga kwa kujaribu kuwa naye.
WanaJF, Inakuwaje kuwaje mpaka unafika hatua ya kusema yes huyu ndiye anafaa kuwa mke/mume wangu..??? 🤔🤔🤔
Naona ni nyakati mkuu pia na matukio kadhaa ambayo yanatokea ndani ya jamii kila kukicha, na ndo walio wengi wamekuwa wakipembua sana hasa kupata mwenzaSijui ni utandawazi au mabadiriko ya nyakati ambazo husababisha vijana tuwe na vigezo ambavyo maranyingi vinatuwia ugumu wa kupata watu(mke au mume) sahihi ktk maisha yetu,sio dhambi kuweka vigezo lakini vigezo vinavyowekwa viendane na uhalisia wa maisha yetu.
Naona hili ni jambo la msingi zaidi mkuu, nikienda haraka kuna dalili ya kupotea. 👍👍Kama bado hujampata mwanamke wa vigezo unavyohitaji basi jaribu pia kuendelea kutafuta mwanamke ambaye anarandana na sifa uzitakazo.
. Tatizo hao ni wapashaji viporo sana...Wewe navoona vigezo vyako, ungepata mwanamke alieolewa, akaachika au single mother,mngeendana na sio fresh mtasumbuana!
Namaanisha umpate anaejielewa, na aliuepigwa matukio mazito!. Tatizo hao ni wapashaji viporo sana...
. Hata uwalee vipi, ex wake akija lazima watazagamuane tu, labda mume wake awe alishafariki
Hyo ni kishule shule ata ungefumaniwa ungewekwa njiti za kutosha na maisha yakaendeleaForm two hiyo, kuna dem fulani siku hiyo tumekubaliana nikamtoe bikra Alafu dada yake akamjaza sumu mdogo wake nikamkosa Aiseeeeee, niliumia sana. 🥺🥺🥺.