Hii fact unayoisema wanaoiconsider hata wa5 kwenye mia hawafiki
Ndio hivyo. Kwa mwanaume makini lazima aiwaze hii. Ndio maana tunalalamika wanawake wa kuoa ni adimu kupatikana
Hii fact unayoisema wanaoiconsider hata wa5 kwenye mia hawafiki
Wazo lako ni zuri sana mkuu... Ngoja nilifanyie kaziSuala hili ni gumu kwa kweli ila kwenye ndoa kuna mengi sana ,aisee jitoe tu muhanga kama kuna sehemu nafsi yako imependa ..Mambo mengine mabaya usiwazie ila yakitokea basi fanya maamuzi ili uendelee kuishi.
Pia kama una nia Mungu atakuongoza ,achana na watu wa humu mitandaoni wanadhalilisha sana wasichana ..Hao wasichana wanawaharibu bila ya kuwaoa ila wao wanasema wanataka bikra.Wazo lako ni zuri sana mkuu... Ngoja nilifanyie kazi
Em apiaa.Yeah mkuu, 😋😋😋 mimi sina mikono milaini kama biskuti
😁😁😁, niamini mkuu, hela siyo kigezo kabisa cha kupata mke Aise..Itakuwa huna hela tu jamaa yangu
😅 😅, hapa nakuona kabisa unatumbikia kwa wachuna ngozi.Ukiwa na pesa ndoa ni nzuri sana na wanawake ni wengi sana tena watakuheshimu na kukunyenyekea sana
Hapana ndugu yangu pesa ina nguvu sana katika maisha ya sasa😁😁😁, niamini mkuu, hela siyo kigezo kabisa cha kupata mke Aise..
😅 😅, hapa nakuona kabisa unatumbikia kwa wachuna ngozi.
. Nia ipo mkuu, mda mwingine kichwa kama kimevurugwa vile kwa sababu wakati umefika Alafu nakosa mke wa kuoa... 🤔 🤔.Pia kama una nia Mungu atakuongoza ,achana na watu wa humu mitandaoni wanadhalilisha sana wasichana ..Hao wasichana wanawaharibu bila ya kuwaoa ila wao wanasema wanataka bikra.
Sure,Hapana ndugu yangu pesa ina nguvu sana katika maisha ya sasa
Tuache kuukwepa ukweli
Kabisa mkuuSure,
kibunda ni muhimu sana.
Chukua yeyote kikubwa akuheshimu ,maisha yanaenda mbele ..Ndoa zinavunja hata hawa waliokutana bikra ,yote ni mipango ya Mungu.. Nia ipo mkuu, mda mwingine kichwa kama kimevurugwa vile kwa sababu wakati umefika Alafu nakosa mke wa kuoa... 🤔 🤔.
. Madalali yananibana sana, ndo maana naona heri kumpa heshima yule nitaye mpata,
🙄😃😃😃ufasaha ikiwezekana kabisa asiwe anacheza VIKOBA.