Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

. Mimi nipo kawaida sana mkuu, sina mambo mengi kabisa, Yawezekana labda ninavyo kutana kila aina ya watu, imenigharim pia kupata mtu aliye sahihi kwangu.

.
Wewe si mkamilifu nimekuuliza moja ya comment zangu ujionavyo wewe una tabia gani ambayo unajua hapa ata kama nikija bahatika kuoa basi huyo Mwanamke atakuwa amenivumilia sana.
 
Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa.


. Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na kwa kweli naona kabisa nimeanza kuchoka kutafuta mke wa kuoa . Nahitaji mke ambaye tunalingana kitabia na kimtazamo kwa kiasi fulani. Sitaki mtu mwenye hasira za haraka au mwenye ukaidi au asiye na kifua( kilopo lopo). Nahitaji mke mwenye Uelewa wa maisha, mtunza siri za maisha na anayeweza kulea familia kwa ufasaha ikiwezekana kabisa asiwe anacheza VIKOBA.


. Kila uhusiano nitakaogusa naona kabisa huyu hafai kuwa mke bali anafaa kuwa mwanamke katika upande wa kiburudisho tu, ni ajabu sana aise,


. Cha kuchekesha kwa sasa ni kwamba nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na rafiki yangu wa kike ambaye tumedumu naye kwenye mambo kadhaa ya biashara lakini bado naona hafai kuwa mke bali naona anafaa kuwa mwanamke tu. Wakati mwingine najihisi mjinga kwa kujaribu kuwa naye.

WanaJF, Inakuwaje kuwaje mpaka unafika hatua ya kusema yes huyu ndiye anafaa kuwa mke/mume wangu..??? 🤔🤔🤔
Mke huwa anakuja wakati ambao hunautayari wa kuoa .....wengi huwa tunakosa uthubutu, misimamo na uwezo wa kufanya maamuzi magumu...pale ambapo unakuwa tayari hupati mtu sahihi
 
Mwanamke kwanza akupende hapa ata akiwa ana tabia gani chafu ana uwezo wa kujirekebisha kwa asilimia 80%
Pili awe na hofu na Mungu yaani mshika dini kwelikweli vigezo muhimu ambavyo wewe hukuvitaja😁
. Mwanamke anapenda akiwa tayari yupo ndani ya uhusiano,( watu hawa ni wachache sana kwa miaka ya sasa), wengi ni mwendo wa kutembeza dudu kila mtaa.

. Hofu ya mungu, kweli sijataja, kwa sababu mimi siyo muumini sana wa dini,... Ndo dini yeyote ile naoa.
.
 
Umenena vema mkuu... Lakini katika pilika pilika zangu, nimegundua kuwa mwanzo huigiza wapo na adabu ya kutosha, lakini ukisha weka ndani tu mapicha picha yanaibuka faster.
Hicho unachokiiita mapicha picha ndio kazi yako wewe mwanaume kukiweka sawa as the head of the family, amini atakusikiliza

Halafu kwa nini unaweka vigezo vingi namna hiyo as if wewe ndio muumbaji? Aliyeumba wanadamu ameumba kwa utofauti.

Yuko mwanamke anaekufaa na kamwe hawezi kukidhi vigezo ulivyoweka atakua navyo vichache, chukua huyo ishi nae la sivyo ukikomaa na vigezo ka mganga wa kienyeji hutoboi
 
Mdogo wangu Nyafwili ukweli ni kwamba siku hizi hakuna wanawake wa maana wa kuoa ni takataka tu zimejazana zinataka harusi na wala sio ndoa

Miaka hii kama unaamua kuoa ni kama unabet

Oa at your own risk
Ni kweli mkuu, maisha yamebadilika sana... Kupata mke ni changamoto nyingine ndani ya maisha ya sasa, ndo maana inafika muda ni mwendo wa kuzalishana tu, kila mtu akae kivyake..
 
Shida lawama mnawatupia Wanawake pekee hali ya kuwa ukweli mchungu siku hizi si Wanawake au Wanaume waliokuwa na vigezo kuunda familia we Mwanaume unapiga kelele leo kumbe nyuma una tembea na laana ya machozi ya wanawake ukute mtoa mada ni Single father eti nae anatafuta Mwanamke mkamilifu 😁😁😁
😅 😅 😅 😅 😅... Dahh, hapana mimi nataka wototo wawe na mama mmoja tu, sitaki kuchomwa moto mbinguni siku ya kiama.
 
Wewe si mkamilifu nimekuuliza moja ya comment zangu ujionavyo wewe una tabia gani ambayo unajua hapa ata kama nikija bahatika kuoa basi huyo Mwanamke atakuwa amenivumilia sana.
. Naam mimi siyo mkamilifu hata kidogo, ila angalau nipate yule aliye sahihi ili kukidhi vigezo kadhaa ninavyovitaka kwa Sasa.

. Au wewe unaonaje ni bebe pisi yeyote ila nitairekebisha taratibu mbele kwa mbele 😁.
 
Mke huwa anakuja wakati ambao hunautayari wa kuoa .....wengi huwa tunakosa uthubutu, misimamo na uwezo wa kufanya maamuzi magumu...pale ambapo unakuwa tayari hupati mtu sahihi
Ngoja ni relax tu mkuu, labda bado haujafika kupata kifaa kizuri 👍👍.
 
Kweli nimeamini unaloliona rahisi kwako kwa wengine ni gumu...Mbona mabint ni wengi sana waliotayari kuolewa?
Ugumu upo kwa upande wa wanawake kuolewa japo wengi wapo tayari, ila kwa upande wa wanaume ni rahisi sana kupata mke mwenye sifa zote za kuwa mke

Alafu kudumu na binti wa watu sana bila kumuoa sio sababu ya kumfanya kipimo kwa wanawake waliobaki maana mwanamke anapozidi kukaa mtaani peke yake ndivyo anazidi kuharibika kimwili na kiakili lakini anaimarika kiakili akiwahiwa kuolewa
Hao wanawake walio tayari kuolewa hawana sifa ... wanaenda kukupa laana ya mafanikio tu huko ndoani...wengi wanaotaka kuolewa ni wale ambao wanataka kupumzika maisha ya anasa sio kutaka kuolewa .Halafu ni ngumu sana kutafuta mke wa kuoa kwa mwanaume pale unapojiona nioe sasa .wengi wanaoa hawajaamka wakaenda barabarani na kutafuta wake, muda mwingine ni bahati , muda mwingine watu wanafanya maamuzi ya wale ambao amekwisha kuwa nao na kuona yupi ana nafuu.

Enzi zangu za chuo nishakutana na wanawake wanaofaa kuolewa sio kutaka ... hao waliolewa muda mfupi tu baada ya kumaliza ila wale masista duu sasa .. sasa hivi wanataka kuolewa wanavyopuyanga sasa[emoji1787][emoji1787]

Sent from my 23021RAAEG using JamiiForums mobile app
 
Kuna Wanaume wanatembea na laana ya machozi ya Wanawake we umechezea watoto wa watu kisha leo unataka Mungu akupe mke mwema awe amenyooka kitabia haiwezekani hiyo.
Mbona sijachezea mwanamke yeyote mkuu... Sina dhambi ya aina hiyo aisee
 
Back
Top Bottom