Samahani kwa nitakaowakera ila lazima nilijibie hili

Mimi nilikuwa naamini kuwa ulikuwa unatania tu kamanda na sikudhani kama kuna mtu aliyekuwa anakuchukulia siriazi. Yote kwa yote umefanya vyema kuwaomba msamaha unaohisi kuwa umewakwaza. Blessings bro [emoji109][emoji109][emoji109]
Aisee kamanda ulivyokuwa unawaza ni sahihi kabisa, hakuna ukweli hata kidogo kwenye yooooote niliyoyaandika humu, actually sikuwa serious Lakin mapokeo yamekuwa tofauti na nilivyotarajia.. Hivyo ku clear atmosphere nimeona niombe radhi tu.

Kitu kizuri wameupokea msamaha wangu [emoji120][emoji120]!

Wabarikiwe sana wanawake wa JF watoto wa taifa la Mungu aliye hai.

Na kwanzia leo yeyote anayewasema hovyo bila sababu za msingi huyo hana akili kabisa na adhabu kali ina mungoja siku ya kihama.
 
Kuna uzi nimepita nikaona hilo vazi limeandikwa Tanzania, Mara mganga lakini sikuelewa sasa ndio napata picha
 
tunakuruhusu u screen shot, hayaa, fanya haraka sana
 
Mimi swali langu ni moja tu na la msingi sana je haya uliyoyasema ni kweli katika uzi wako au ya uongo ?

Kama yana ukweli kaka sikufichi uko sahihi kabisa ila kama ni ya uongo aisee,huu msamaha unatakiwa uombe mara mbili zaidi bila kurudia neno hata moja kutoka katika msamaha wa kwanza.
 
Aiseeehh nimeupitia uzi wa baharia nimemuelewa sana...mimi kukutana na mtu nimekutana ane mtanadaoni huwa inachukua muda sana...halafu tatizo mkishindwa huko mnaleta mambo yenu yote humu Jf na alieanzisha kuleta mambo hewani ni demu...bahari nimekuelewa sema akichukua mkoba wa uganga ataanza na wewe kukutoa makende
 
Haya kutokea tuyategemee tu ,maana wanaotumia JF ni watu na sio wanyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…