Samata mishahara ya milioni 400 kwa mwezi iko wapi? Hatuoni maendeleo

Kuna kipindi nilisikia ana bajaja 40 na daladala kama utitiri.

Ila biashara ya vyombo vya moto kwangu Mimi naiona kama biashara kichaaaaa

Unaweza kufilisika siku na saa yoyote.

Ila jamaa pia nasikia ana vyumba za kutosha.
 
Usiwadharau watu, wala usiwakebehi, wala usiwafanyie dhihaka, kwani haujui vipi itakuwa hali yako kesho.
Kuwa makini, leo usiwe ni katika watukanaji, kesho ukawa ni miongoni mwa waliopewa mtihani.
Tuhifadhini ndimi zetu.

Ijumaa Mubarak
swadaqta
 
Shida wakiugua mbele ya safari wanapitisha mabakuli kwa wadau wa michezo/mpira au wale wa muziki ndiyo maana watu wanapata uthubutu wa kutaka kujua hufanya nini wakiwa nazo.

BTW:Kuna wanasoka wanakunja hiyo 400M wakiwa hapahapa bara giza hasa kwa vigogo wa Kaskazini.
 
Uko sahih mleta Uzi ila naona unapata upinzani mkubwa kwake kwa kuwa Ni ukweli

Jamaa ajafanya lolote hat kujenga shule au hospitality Yale Kisha kukabidhi serkali [emoji23] hajafanya hvyo Ni wasi jamaa alikuwa akilpwa milion 19 tu nakuka kutudanganya kuwa analipwa milion 340
 
Ni pesa ndogo sana hiyo dogo. Mi naona anasave tu kwa ajili ya uzeeni. Aje kufanya biashara bongo kwa hawa waswahili wasio waaminifu, si atakuwa anacheza huko kwa stress tu? Hizo pesa kuna watu hapa hapa Bongo wanazipata ila hauoni wakifanya mambo makuuubwa.
 
A
Anza wewe kueleza unapata kiasi gani na umefanya maendeleo gani.
 
Unataka kila anachofanya akuambie?
Akaunti yake unajua ina salio kiasi gani?
 
Upumbavu mtupu, nawewe si utafute zako ufanye hayo waliyofanya kina mane unaowasema!

Pesa ya mtu mnataka muifanye iwe ya jamii, muamue haya ni maendeleo haya sio?

Ujinga mtupu.
 
Ulishawahi msikia Samata anataja mshahara wake?
Mimi binafsi sijawahi zaidi ya stori za kijiweni tu.
 
Unajua akaunti yake/zake zina shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…