Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinga lingine hili
swadaqtaUsiwadharau watu, wala usiwakebehi, wala usiwafanyie dhihaka, kwani haujui vipi itakuwa hali yako kesho.
Kuwa makini, leo usiwe ni katika watukanaji, kesho ukawa ni miongoni mwa waliopewa mtihani.
Tuhifadhini ndimi zetu.
Ijumaa Mubarak
Anza wewe kueleza unapata kiasi gani na umefanya maendeleo gani.View attachment 2674110
Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.
Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea mshahara mkubwa na marupu rupu nje ya mshahara, kwa mshahara wake tu alikuwa akilipwa kwa mwezi takribani milioni 450 za Kitanzania, ukitoka Kodi na matakataka mengine anabaki na kama milioni 350 hapo nje ya marupu rupu.
Tunaomjua karibu Samata tunashindwa kuelewa kuwa zaidi ya nyumba ya Kigamboni hatujaona amefanya chochote cha maana na chakueleweka na ndio anafikia mwisho wake. Tofauti na wenzie kina Adebayor, Mane, ambao wameweka alama lakini wamefanya uwekezaji mkubwa sana.
Kama Samata ameshindwa kumanage funds alizopata na anazopata, basi Watanzania inabidi tujiangalie na tujiterekebishe. Katika hili hatuwezi kumlaumu Wema Sepetu, wala Irene Uwoya kwakuwa Samata alikuwa si mtu wa hizo mambo.
Natoa hoja.
Unataka kila anachofanya akuambie?View attachment 2674110

Ulishawahi msikia Samata anataja mshahara wake?Uko sahih mleta Uzi ila naona unapata upinzani mkubwa kwake kwa kuwa Ni ukweli
Jamaa ajafanya lolote hat kujenga shule au hospitality Yale Kisha kukabidhi serkali [emoji23] hajafanya hvyo Ni wasi jamaa alikuwa akilpwa milion 19 tu nakuka kutudanganya kuwa analipwa milion 340
Unajua akaunti yake/zake zina shilingi ngapi?View attachment 2674110
Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata, amecheza vilabu vinginna vikubwa , lakini Nina swali dogo.
Mbwana alivofika ulaya alikuwa akipokea mshahara mkubwa na marupu rupu nje ya mshahara, kwa mshahara wake tu alikuwa akilipwa kwa mwezi takribani milioni 450 za Kitanzania, ukitoka Kodi na matakataka mengine anabaki na kama milioni 350 hapo nje ya marupu rupu.
Tunaomjua karibu Samata tunashindwa kuelewa kuwa zaidi ya nyumba ya Kigamboni hatujaona amefanya chochote cha maana na chakueleweka na ndio anafikia mwisho wake. Tofauti na wenzie kina Adebayor, Mane, ambao wameweka alama lakini wamefanya uwekezaji mkubwa sana.
Kama Samata ameshindwa kumanage funds alizopata na anazopata, basi Watanzania inabidi tujiangalie na tujiterekebishe. Katika hili hatuwezi kumlaumu Wema Sepetu, wala Irene Uwoya kwakuwa Samata alikuwa si mtu wa hizo mambo.
Natoa hoja.
Tena Kimbangulile hukoSamata ametokea Mbagala na sie tunaoishi uswahili tunajua maana halisi ya Husda
ana haki ya kuwa na faragha kwny maisha binafsi
kwanini una hamu ya kujua mafanikio yake badala ya kujua changamoto zake ili zikupe funzo namna ya kujikwamua utoke hapo ulipo