Kweli mkuu nakumbuka kipindi tupo wadogo tukienda likizo ilikuwa tunajigawa unakuta mzee anaenda na bi mkubwa na dogo mmoja gari moja halafu wengine tunasafiri siku ya pili na gari tofauti na kurudi hvyo na mpaka leo ndo utaratibu wake jinsi ulivyo.Its spiritual attack, kamwe usithubutu kupanda gari/basi moja mkiwa watu wa familia moja ni hatari sana kwenye ulimwengu wa roho tumia "Divide and Spread Rule" huu ni mfumo wanaotumia Marais wengi wakisafiri na gari/basi barabarani. RIP
, corolla ibebe watu 7?Afisa Uhamiaji na Corrola namba A au mi ndio sielewi?
@JembeKillo Njoo uone Wish Corolla huku.
Unapakataje mtoto kiti cha mbele?Kulikuwa na watoto wawili, mmoja miaka miwili, maana yake alipakatwa kiti cha mbele kwa mujibu wa taarifa
Hata hivyo toyota wish toleo la no A, sdhani kama lipoAnazingua mtuu mkuu, hivi Toyota Wish huku kitaa tunaiita Toyota Corolla?? [emoji12]
The Toyota Wish debuted at the 2002 Tokyo Motor Show and was introduced to the public as part of the 2003 model year line-up. The first generation AE10 was built from 2003 to 2009 with few changes to the basic design that was developed by Takeshi Yoshida and his team.Corolla zipo nyingi hata Wish ni corolla pia, babu unazeeka vibaya.
Mwisho wa ubishi asante sana wewe ndo umemaliza mjadala
Check point ipo HedaruHakuna check points huko, watu 7 ni wengi kwa Corolla
Itoshe kusema hakunaNafahamu kuwa model zote hizo umetaja ni familia moja ya Corolla...
Lakini unashindwa kuelewa kwamba kwa ilivyozoeleka ukitaja Corolla, je ni gari ipi inayokuwa inatambulishwa?
Je na hizo gari umetaja, huwa watu wanazitambua kwa majina ya Spacio na Wish au Corolla?
hiyo ndio Divide and Spread Rule kaka, tatizo watu wabishi sanaKweli mkuu nakumbuka kipindi tupo wadogo tukienda likizo ilikuwa tunajigawa unakuta mzee anaenda na bi mkubwa na dogo mmoja gari moja halafu wengine tunasafiri siku ya pili na gari tofauti na kurudi hvyo na mpaka leo ndo utaratibu wake jinsi ulivyo.
Ya kulalana ukweni hayana madhara yoyote kiroho, ya kusafiri familia nzima kwenye gari moja ni mbaya kiroho kwakuwa kama kuna mmoja ana vita ya kiroho ni rahisi kuwaambukiza wengineEti Bro Mshana ... mwanaume kulala kwa wakwee na kugegedana huwa inaleta madhara wakati wa safari?
Je ni kweli watu wa kaskazini wana imani mbaya pale familia inaposafiri katika gari/basi moja kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine hasa msimu wa sikukuu ama kuwapo na shughuli ya kifamilia sherehe/msiba?
nakubaliana nawe sio kila ndugu/jirani wa kumwaga
For sure nakuunga mkono broMwanga mpaka Hedaru ni eneo hatari sana kwa mwendokasi na kuna baadhi ya maeneo yake yamewekwa kabisa vibao vya hadhari. BTW alitoka Tanga nyumbani. Kuna baadhi ya maeneo siku ya kuondoka huagi kila mtu
Lazima wajifiche mkuu, akinunua range namba D anastukiwaAfisa Uhamiaji na Corrola namba A au mi ndio sielewi?
Walioko kwenye checkpoints ni washikaji ukiwa na book 2 hamna shida
Mkuu ngoja nami niongezee hapa, mtoto wa chini ya 3yrs ni lazima watumie kiti maalum ndani ya gari ,hakuna kupakatana ,nchi hii iligeuka uelekeo sio kipindi fulani huko nyumaWatakuwa watoto? Mtoto mmoja alipakatwa na maza mbele, wengine nyuma