pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Kweli mkuu nakumbuka kipindi tupo wadogo tukienda likizo ilikuwa tunajigawa unakuta mzee anaenda na bi mkubwa na dogo mmoja gari moja halafu wengine tunasafiri siku ya pili na gari tofauti na kurudi hvyo na mpaka leo ndo utaratibu wake jinsi ulivyo.Its spiritual attack, kamwe usithubutu kupanda gari/basi moja mkiwa watu wa familia moja ni hatari sana kwenye ulimwengu wa roho tumia "Divide and Spread Rule" huu ni mfumo wanaotumia Marais wengi wakisafiri na gari/basi barabarani. RIP