Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Na tunaitakaa sana hyo reforms mkuu ,lkn c unaonaa hzo takataka za CCM zinavyojichukulka fomu za ubungee hukoo ..View attachment 3387267
sababu za bunge kuhairishwa shughuli zake na sio kuvunjwa ,reforms zinakuja na zile zilizoanishwa na chadema ,chini ya maridhiano na zinginezo ,bunge la umoja wa ulaya na seneti ya US ,sio bunge la kenge ni mambo tupu .....na maradhi waliyonayo wafie muhimbili ,unaielewa ban ya misaada na kutokanyaga ardhi yao
 
View attachment 3387252

Watu takribani 50 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria moja aina ya basi la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Coaster, kugongana uso kwa uso kisha kuwaka moto katika eneo la Njoro wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Subiri Taarifa zaidi
Hii itahusishwa na watia nia wa kijani
 
Kuthibitishwa na nani wakati yeye mwenyewe alikuwepo. Labda subiri serikali ije ipunguze hiyo idadi maana ndiyo kawaida yao

Okay. Ajali ya moto sio rahisi kupata figure kamili kirahisi... Kama aliwahesabu sawa.
 
View attachment 3387252

Watu takribani 50 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria moja aina ya basi la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Coaster, kugongana uso kwa uso kisha kuwaka moto katika eneo la Njoro wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Subiri Taarifa zaidi
Mungu azilaze roho za marehemu mahala panapostahili
 
View attachment 3387252

Watu takribani 50 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria moja aina ya basi la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Coaster, kugongana uso kwa uso kisha kuwaka moto katika eneo la Njoro wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Subiri Taarifa zaidi
Ooh my beautiful JESUS. This is a very sad news.
 
Back
Top Bottom