Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Hapo umefunga mkanda had uje utoke tayari fuvu lisha bust RIP na polen waliopoteza ndugu,jamaa na marafiki
 
View attachment 3387252

Watu takribani 50 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria moja aina ya basi la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Coaster, kugongana uso kwa uso kisha kuwaka moto katika eneo la Njoro wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Subiri Taarifa zaidi
Duuh hatari sana nimeisikia unaambiwa ni majivu tu na mafuvu🥲Mwenyezi Mungu awapumzishe salama, 🙏
 
Abiria zaidi ya 10 wanahofiwa kufa baada ya magari mawili, basi la Channel One lililokuwa safarini kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro kugongana na basi dogo aina ya Toyota Coaster kisha magari yote mawili kuungua kwa moto.

Mkuu wa wilaya ya Same, Kasilda Mdimila amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
View attachment 3387212
View attachment 3387210
Hakuna Cha kumi hapo , ni asilimia90 ya aboria wamekuwa majivu
 
Back
Top Bottom