Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Kiburi cha afya na uzima. Ila wee kobaz Una roho ugumu. Kuna comment zako flani eti unawashangaaga wanaume waliofiwa kulia msibani.
May be unaweza kuniombe nife basi niombee nife kesho ...Unapinga kifo kwa misingi ipi ,ishatokea hapo bora wakapumzike .Sio kwamba wana makosa au dhambi sana ni kukubali kama mnafurahi kuzaa bali mfurahi na kifo.

Assume umezaa mtoto ambaye atakuja kufa
.Simply , accept the fact kwamba utakufa kama ulivyofurahi kuzaliwa
 
Pumzi inakudanganya

Kwaherii
Niombee kesho nife kwani nitapungukiwa na nn ? Kubali ukweli ndugu utakufa usijipe wasiwasi ...Bora kuwaonea huruma walemu na mafukara kuliko aliyekufa ,imeshatokea sasa utafanyaje ...Hata huo huzuni hauwezi kudumu milele.
 
View attachment 3387252

Watu takribani 50 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria moja aina ya basi la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Coaster, kugongana uso kwa uso kisha kuwaka moto katika eneo la Njoro wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Subiri Taarifa zaidi
Hii ni ajari mbaya zaidi Toka mwaka huu uanze.

Pole sana Kwa kuungua na moto
 
Back
Top Bottom