Kuelekea uchaguzi....kafara is real....View attachment 3387252
Watu takribani 50 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha magari mawili ya abiria moja aina ya basi la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Coaster, kugongana uso kwa uso kisha kuwaka moto katika eneo la Njoro wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Subiri Taarifa zaidi
Mabasi mawili 🐼Mtoa taarifa una uhakika watu 50? Au ndo mambi ya aljazeera kuongeza 0 kwenye vifo
Short break from not existing.Nini maana ya maisha
"Dunia ni mateso" mbona we hutaki kupumzika Mkuu, na una uhakika gani Marehemu walikuwa wanaona dunia ni mateso?Safi sana ,bora wakapumzike ..Dunia ni mateso .
Toyota Hiace Mjapan pure.Hivi zote mbili ni gari za kichina?
Na hio basi?Toyota Hiace Mjapan pure.
Itakua Mchina labda maana ndio yamejazana.Na hio basi?
Maana ni vigumu kuona scania inachomeka ?