Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Kisa cha kugongana ni nini? Halafu check point.....
 
Hivi
huwa wanafaidika nini kupunguza
idadi ya marehemu katika ajali?
Kuepuka Kuchafua taswira ya Taasisi na Taifa, maandishi huwa hayafutiki..nimejaribu kuwaza tuu ndugu mwananchi!😔
 
  • Masikitiko
Reactions: 1gb
Hizi siyo kafara za wanaochukua fomu kweli,maana ajali leo tu mbili nahii
Screenshot_20250628-231628~2.png
 
Usikute hapo mwana CCM kishatia nia ya kugombea ubunge na kafara ndilo hili....tutaona mengi mwaka huu jamani.
 
Mpaka sasa wametangaza kuwa watu 36 ndio wamefariki...
Mungu awaponye majeruh
 
Back
Top Bottom