Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Same: Watu 37 wafariki dunia kwa ajali, 29 wajeruhiwa. Mabasi yagongana na moto kulipuka

Kuna dalili wengi kwenye ajali hiyo ni CCM.
Wapare wote ( SAME NA MWANGA)wenye mabasi ni CCM,na wanajificha humo,ili kutokutengeneza mabasi yao,na serikali haihangaiki nao kisa wapo CCM.

1. Kirumo alikuwa Diwani wa CCM
2. KILENGA, mjumbe wa CCM
3. RAQUB ,MJUMBE WA CCM TAIFA
4. CHANNEL ONE,DIWANI WA CCM
 
Daah inasikitisha sana swala la kuokoa watu lipo chini sana pindi ikitokea ajali hatuna chopa za emergency za kuzima moto tupo busy na V8 na kukodi chopa kipindi cha kampeni..
 
Hizo ni roho nyingi sana za watanganyika zimepotea aisee.

Wamekwenda bila kushuhudia reforms zikitokea kwenye taifa lao dah!
 
Hela za kununua gari washa washa wanazo ila kununua fire trucks aaah! Kifo ni kifo tu au sio?
 
Kuna dalili wengi kwenye ajali hiyo ni CCM.
Wapare wote ( SAME NA MWANGA)wenye mabasi ni CCM,na wanajificha humo,ili kutokutengeneza mabasi yao,na serikali haihangaiki nao kisa wapo CCM.

1. Kirumo alikuwa Diwani wa CCM
2. KILENGA, mjumbe wa CCM
3. RAQUB ,MJUMBE WA CCM TAIFA
4. CHANNEL ONE,DIWANI WA CCM
Kwa hiyo barabara inapitisha magari ya Mwanga? Na kwa taarifa yako Hii ni ajali usihusishe na siasa mkuu
 
SmartSelect_20250629_110708_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom