Polepole alimtukana? Yuko wapi kama kweli unaamaanisha usemacho?haya hizo lugha ndo siku mkifinywa makende mnakuja kulia huku mitandaoni, huyo ni mama, bibi, rais wa nchi, amiri jeshi mkuu, lazima tumheshimu ili kulinda heshima ya nchi pia, mkosoeni kwa hoja sio matusi na vurugu wandugu
We mpuuziMama Samia, usiwape raha za kupeana mikono watu wasio maharim zako.
Nakubalia na wewe mkuu. Walishindwa kufuata mapendekezo ya rasimu sasa wameanza kujikosha. Wasiwasi wangu wasije waka mndugai au kumjenista tu. Washazoea kunyonga na kumwaga damu hao. Warioba awe makini hawachelewi haoKukutana naye tu itakuwa haina maana yoyote ile kama ataupuuza ushauri wake usio na chembe ya unafiki au kujipendekeza! Na hivyo kuendelea kukumbatia ushauri wa wahuni wa mjini.
Tumaini la wa bongo limebaki Kwa Warioba na TALRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756
Hofu yangu mimi ni kwamba mzee wanaweza wakamjenister.Mzee Warioba, pamoja na uungwana wake asimruhusu huyu mwovu kumtumia.
Hawa walipofikia sasa hakuna ovu wanaloshindwa kufanya.Hofu yangu mimi ni kwamba mzee wanaweza wakamjenister.
Tunataka huyu mazeri asepe kwao ndipo katiba itengenezwe.Hawa walipofikia sasa hakuna ovu wanaloshindwa kufanya.
Itasikitisha sana Mzee Warioba kwa sababu yoyote ile; hata ya kudanganyia kuliponya taifa; akikubali kushirikiana nao hawa waovu.
Katiba Mpya haiwezi kutengenezwa chini ya utawala HARAMU.
Huyu mwanamke shetani anashikilia serikali HARAMU.Tunataka huyu mazeri asepe kwao ndipo katiba itengenezwe.
Hakuna mama akawa mnyonya damu.Leo ndiyo Mama anamkumbuka huyu Mzee?
Kama alimshauri ,lakini akaziba masikio amwache Mzee
anamchosha bure!
ThubutuuuuKasemaje warioba?kampa makavu laivu?
Naunga mkono hoja.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2025.
View attachment 3516751View attachment 3516756