Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.

Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya mataifa kama angekubali ushauri wa watu mbalimbali aliokuwa anapewa akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili, leo Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu.

Badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku kunyooshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa anapewa na Lissu.
Idiots are smartasses!
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya mataifa kama angekubali ushauri wa watu mbalimbali aliokuwa anapewa akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili, leo Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu.

Badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa anapewa na Lissu.
Still bado kamuweka ndani wakati case Lissu keshaimaliza ile na majudge wameshaukataa ushahidi mkuu wa kosa linalomkabili Lissu.
 
Ukisikiliza hotuba ya mzee warioba katika ule mdahalo wa Tanganyika Law Society (TLS) utaelewa namna CCM na uongozi mzima wa chama chao hawana hekima hata kidogo na viburi vimewajaa hadi matakoni.

Watu wenye hekima zao wamepambana sana kuwasihi kushiriki mazungumzo ya kujadili hatima ya migogoro na mivutano ya kisiasa katika taifa ila jamaa hawakuwahi kusikiliza na waliweka pamba masikioni.

Saa hii wanaanza tena kuwalaumu watu wale wale waliokuwa wakipambana kuwasihi kushughulika na ukiukwaji wa haki na ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi na uvunjifu wa sheria za inchi.
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.

Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
Unachokidhani hakiendani na matamko ya kinywa chake!. HAJUTII
 
Huwezi kuashiria uchaguzi isipokuwa tu kama kuna jambo la hatari. Katiba hairuhusu.

Huyo mwendawazimu mnampa sana umaarufu, kwani yeye ni nani mpaka tufuate ushauri wake?
 
Back
Top Bottom