Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

Tafsiri ya kichwa chako kwa "jambo la hatari" ni nini kwani...?

Bila shaka ni jambo lolote lenye viashiria vya kuhatarisha uhai wa maisha ya watu, au siyo..?

Kama hii ndiyo tafsiri sahihi, tuambie ni nini kilitokea kwenye hicho kilichoitwa "uchaguzi mkuu wa 29/10/2025..?"

Na kati ya vita ya Kagera (1978/1979) iliyosababisha vifo vichache na tukio la 29/10/2025 lililoitwa "uchaguzi" na kuishia kusababisha vifo vya watu wasio na hatia 10,000 kwa kuuwawa na serikali yenyewe lipi lilikuwa jambo la hatari zaidi...?

Hiyo ya Kagera 1978/1979 ilikuwa vita na adui halisi, mvamizi wa nje ya nchi. Tuambie, 29/10/2025 tulikuwa tunapigana na adui gani wa nje...?

Kama una akili timamu, utaomba radhi na kukiri kuwa umekengeuka kifikra...!
Adui ni adui tu atoke Uganda au Kimara, lazima kupambana naye sambamba. Tuna watu tumewapeleka CCP Moshi ma wengine CTU Monduli na Msata. Tunatengeneza risasi pale Mzinga Morogoro, tunaagiza bunduki za kutosha.

Vyote hivyo kazi yake ni kupambana na adui wa ndani na wa nje.
 
Kiukweli mama kaharibikiwa, anaonekana kama takataka mama wa watu. Hata uongozi wake sidhani kama utakuja kuacha alama yeyote.

"Tragedy of miscalculation" ndio imempata mama huyu. Angeonyesha hekma flani wenda angekuwa na heshima flani.

Sio jambo jema watu kukuona muuwaji hasa ukiwa raisi wa nchi. Akija kutoka madarakani ataonekana wa hovyo sana, hakuta kuwa na wapambe wala chawa. Hata chawa wenyewe watamgeuka na kuanza kuusifia utawala utakao fuata.

"Maisha ya binadamu ni hadithi tuu"- Mzee Mwinyi
 
Yeye na wanaomzunguka akili ndogo wanafikiri pesa ni kila kitu hawajui kwenye maisha kuna ubinadamu.
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.

Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
Shida wasaka madaraka hawataki wacheleweshwe zamu yao.
 
Back
Top Bottom