La 29/10 halikuwa la hatari?Huwezi kuashiria uchaguzi isipokuwa tu kama kuna jambo la hatari. Katiba hairuhusu.
Huyo mwendawazimu mnampa sana umaarufu, kwani yeye ni nani mpaka tufuate ushauri wake?
La 29/10 halikuwa la hatari?Huwezi kuashiria uchaguzi isipokuwa tu kama kuna jambo la hatari. Katiba hairuhusu.
Huyo mwendawazimu mnampa sana umaarufu, kwani yeye ni nani mpaka tufuate ushauri wake?
Aliyesema atakinukisha ili uchaguzi usifanyike umemsahau? Kweli huyo ni wa kumshauri mtu??La 29/10 halikuwa la hatari?
Ulivyomaliza kucheka ulijikagua kuona kama umedurusi (kutoa uharo flani mwepesi) au la?!!Nilicheka jana Rais wa nchi ANATUBU kwa mabalozi. Mpaka aibu!!!!
Huwezi kuashiria uchaguzi isipokuwa tu kama kuna jambo la hatari. Katiba hairuhusu.
Huyo mwendawazimu mnampa sana umaarufu, kwani yeye ni nani mpaka tufuate ushauri wake?
Hali unayomuona nayo ni cosmetics tu ya kulazimishwa ili aonekane hakukosea na hajutii, lkn kiuhalisia anaomba siku zirudi nyuma aahirishe uchaguzi.Unachokidhani hakiendani na matamko ya kinywa chake!. HAJUTII
Kwahiyo Samia alitumia busara iliyosababisha kuua watu zaidi ya elf 10.Aliyesema atakinukisha ili uchaguzi usifanyike umemsahau? Kweli huyo ni wa kumshauri mtu??
Uongozi ni busara siyo jazba
sasa hivi anaishi kama digidigiUlivyomaliza kucheka ulijikagua kuona kama umedurusi (kutoa uharo flani mwepesi) au la?!!
Huyo ndo Mama Samia Suluhu Hassan, haters hamuwezi kuelewa.
Ni kweli lkn yeye binafsi hana busara ya kujua hili sawa hili hapana.Amezungukwa na wahafidhina "wahuni". Wasiosikia la mnadi swala
Angejua wapambe wake wanatumia cheo chake kwa maslahi yao zaidi likitokea la kutokea hatowaona kama wapambe wa Maduro walivyoyeyuka.Yule mama hashauriki na hajutii kilichotokea. Angalia gesture yake utagundua kuwa alitamani afanye zaidi ya pale (mauaji). Bahati mbaya amezungukwa na Watu wanaompoteza mno kiushauri.
Nchi imetuliammefata ushauri wa Kikwete kiko wapi?
Nini 10,000!! Fanya waliokufa ni 200,000 lakini nchi imetuliaKwahiyo Samia alitumia busara iliyosababisha kuua watu zaidi ya elf 10.
Hapana wengi mno tufanye kaua wawili tu mikono yake ina vidamu vichache.Nini 10,000!! Fanya waliokufa ni 200,000 lakini nchi imetulia
Uwe mmoja, muwe wawili kama ni kwa ule UHAYAWANI wa kuchoma miundombimu nu uizi, no regrets kwa yaliyowapataHapana wengi mno tufanye kaua wawili tu mikono yake ina vidamu vichache.
No reforms no electionIdiots are smartasses!
Ndiyo kusema walikufa wangapi Sasa. Hao waliochoma miundombinu?Uwe mmoja, muwe wawili kama ni kwa ule UHAYAWANI wa kuchoma miundombimu nu uizi, no regrets kwa yaliyowapata