Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

Huwezi kuashiria uchaguzi isipokuwa tu kama kuna jambo la hatari. Katiba hairuhusu.

Huyo mwendawazimu mnampa sana umaarufu, kwani yeye ni nani mpaka tufuate ushauri wake?
Tafsiri ya kichwa chako kwa "jambo la hatari" ni nini kwani...?

Bila shaka ni jambo lolote lenye viashiria vya kuhatarisha uhai wa maisha ya watu, au siyo..?

Kama hii ndiyo tafsiri sahihi, tuambie ni nini kilitokea kwenye hicho kilichoitwa "uchaguzi mkuu wa 29/10/2025..?"

Na kati ya vita ya Kagera (1978/1979) iliyosababisha vifo vichache na tukio la 29/10/2025 lililoitwa "uchaguzi" na kuishia kusababisha vifo vya watu wasio na hatia 10,000 kwa kuuwawa na serikali yenyewe lipi lilikuwa jambo la hatari zaidi...?

Hiyo ya Kagera 1978/1979 ilikuwa vita na adui halisi, mvamizi wa nje ya nchi. Tuambie, 29/10/2025 tulikuwa tunapigana na adui gani wa nje...?

Kama una akili timamu, utaomba radhi na kukiri kuwa umekengeuka kifikra...!
 
Hali unayomuona nayo ni cosmetics tu ya kulazimishwa ili aonekane hakukosea na hajutii, lkn kiuhalisia anaomba siku zirudi nyuma aahirishe uchaguzi.
Sio kwamba anaamini ataweza kulizima hili Jambo ili lisimletee Madhara yeye binafsi na genge lake?
 
Uwe mmoja, muwe wawili kama ni kwa ule UHAYAWANI wa kuchoma miundombimu nu uizi, no regrets kwa yaliyowapata
Sawa.

G6O7p_LWgAAbRqP.jpg
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.

Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
kibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi kama mropokaji Lisu, kamawe hawezi kua mshauri kwa masuala ya Tanzania nchi ambayo alitamani kuwauzia mabwenyenye wanaomfadhili kwa maslahi yake binafsi na familia yake

muhanini hawezi kushauri chochote zaidi ya kushikishwa adabu korokoroni:HAhaa: .
 
Eti kuna watu wanalipwa na mabeberu kuchafua nchi kumbe serikali ndiyo inawalipa mabeberu, mnauza nchi kumtetea mtu mmoja, angalia mkataba wa kuuza nchi.

Wenzenu wanavuta B nyie mnaambulia elfu 10 wapuuzi wakubwa.

huenda wewe walikusahau na kukutosa usiwemo pale nairobi kwasababu ni lofa tu :pedroP:
 
Eti mnatetea mzalendo anayeuza nchi, si wote tunaotetea taifa tunategemea kulipwa kama wewe.
mzalendo wa kupora mali za watu, kuchoma moto sheli na malls, kuharibu miundombinu ya umma na binafsi hatachekewa hata kwa sekunde moja kufanya huo upuuzi Tanzania.

kama huamini jifanye umekosa maarifa kama wale magaidi malofa wengine uone zawadi utakayopata :HAhaa:
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.

Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
Sawa, yeye kapoteza heshima hiyo. Ila tu msisahau ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu na nyie mtaishia kubwabwaja
 
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.

Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.

Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.

Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.

Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
Yeye anafikiri anayekushauri tofauti na fikra zako (zake) ni adui
 
Ndiyo kusema walikufa wangapi Sasa. Hao waliochoma miundombinu?
Kosa la anayechoma miundombinu ni kupigwa risasi akiwa nyumbani pale?
Hatuwezi kutoa kadi zetu tulajenga miundombinu halafu mahayawani wachache wanachoma tu.
 
Back
Top Bottom