Idiots are smartasses!Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya mataifa kama angekubali ushauri wa watu mbalimbali aliokuwa anapewa akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.
Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili, leo Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu.
Badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku kunyooshewa vidole na jumuiya za kimataifa.
Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.
Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa anapewa na Lissu.
Still bado kamuweka ndani wakati case Lissu keshaimaliza ile na majudge wameshaukataa ushahidi mkuu wa kosa linalomkabili Lissu.Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya mataifa kama angekubali ushauri wa watu mbalimbali aliokuwa anapewa akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.
Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili, leo Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu.
Badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.
Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.
Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa anapewa na Lissu.
Amewapigia magoti mabeberu aliowatuhumu kuwa wanawalipa wanaharakati kuichafua Tanzania.Nilicheka jana Rais wa nchi ANATUBU kwa mabalozi. Mpaka aibu!!!!
Aliwaambia who are you 🤣🤣🤣🤣💺💺💺💺💺Amewapigia magoti mabeberu aliodai kuwalipa wanaharakati kuichafua Tanzania.
Yes huu ni wakati wa malipo.Sikio la kufa
She can't say she wasn't warned, payback time
Unachokidhani hakiendani na matamko ya kinywa chake!. HAJUTIISamia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.
Watanzania walikuwa tayari kwa reforms hata kama uchaguzi ungeahirishwa kwa miaka miwili.
Samia angekuwa mmoja kati ya watu wenye furaha na heshima kubwa mbele za watu, badala yake amekuwa mtu wa kujificha ficha huku akinyoshewa vidole na jumuiya za kimataifa.
Leo serikali inahangaika kukodi makampuni ya kusafisha uchafu wake ambao alikuwa na uwezo wa kuuepuka kwa kutumia kauli tu ya ahadi.
Nafikiri leo anatamani siku zirudi nyuma akubali ushauri aliokuwa akipewa na Lissu.
Huwezi kuashiria uchaguzi isipokuwa tu kama kuna jambo la hatari. Katiba hairuhusu.Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kujijengea heshima mbele ya Taifa na mbele ya Mataifa kama angekubali ushauri aliokuwa akipewa na watu mbalimbali akiwemo Lissu wa kuahirisha uchaguzi na kufanya reforms.