Samia angekubali ushauri wa Lissu asingepata fedheha anayoipata leo

Adui ni adui tu atoke Uganda au Kimara, lazima kupambana naye sambamba. Tuna watu tumewapeleka CCP Moshi ma wengine CTU Monduli na Msata. Tunatengeneza risasi pale Mzinga Morogoro, tunaagiza bunduki za kutosha.

Vyote hivyo kazi yake ni kupambana na adui wa ndani na wa nje.
 
Kiukweli mama kaharibikiwa, anaonekana kama takataka mama wa watu. Hata uongozi wake sidhani kama utakuja kuacha alama yeyote.

"Tragedy of miscalculation" ndio imempata mama huyu. Angeonyesha hekma flani wenda angekuwa na heshima flani.

Sio jambo jema watu kukuona muuwaji hasa ukiwa raisi wa nchi. Akija kutoka madarakani ataonekana wa hovyo sana, hakuta kuwa na wapambe wala chawa. Hata chawa wenyewe watamgeuka na kuanza kuusifia utawala utakao fuata.

"Maisha ya binadamu ni hadithi tuu"- Mzee Mwinyi
 
Yeye na wanaomzunguka akili ndogo wanafikiri pesa ni kila kitu hawajui kwenye maisha kuna ubinadamu.
 
Shida wasaka madaraka hawataki wacheleweshwe zamu yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…