Tetesi: Samia kupigwa chini na Nchimbi kuchukua nafasi yake kugombea kukinusuru chama

Mkuu ikikupendeza, maelezo kidogo hapa... kwamba Nchimbi hafai ni bora Mpango? Ama sijakuelewa..
Sasa wewe unaona huyo anafaa Kwa lipi? Ana ushawishi gani? Mimi namfahamu Toka anakuwa Mbunge Songea hajui kuongea.

Mpango anajua kuongea kuliko Nchimbi.
 
Mkuu heshima nyingi. Asante sana.
 
Mbona manataka kumharibia nchimbi?

Kwa sasa hana chochote, Samia akikohoa tu nchimbi anatupwa venuzuela kwa miaka mingine mi3,

Acheni kuwagombanisha watu,
 
Naunga mkono hoja.
Bi mkubwa hakubaliki kwa wananchi
Kulazimisha Bi mkubwa awe rais ni hatari kwa usalama wa nchi
Naamini huo mstari wa mwisho hukuyatumia maneno hayo kiurahisi rahisi tu.
Magufuli na Samia, wote kwa pamoja na kwa kila mmoja kwa aina yake wamekwisha fanya mambo ambayo hayajawahi kufanywa ndani ya nchi hii.
Kwa hiyo lolote linaweza kufanywa ambalo hatujawahi kulishuhudia hapo awali. Tupo nje kabisa ya taratibu zilizo zoeleka.
 
Kulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
Nyambafu,katiba haisemi hivyo.Huu mwaka walitakiwa waingie ulingoni wote.Katiba inasema mgombea mkuu akitoka Tanganyika, mwenza anatoka Zanzibar and the otherway around is true.
 
Sasa wewe unaona huyo anafaa Kwa lipi? Ana ushawishi gani? Mimi namfahamu Toka anakuwa Mbunge Songea hajui kuongea.

Mpango anajua kuongea kuliko Nchimbi.
Nchimbi amekuwaje Mwenyekiti wa Uvccm Taifa kama hajui kuongea?

Na Uvccm ya Dr Nchimbi ndio Uvccm ya mwisho kuheshimika baada ya hapo Uvccm imebaki kuwa ni wing ya machawa tu.
 
Unawaza kitambaa cheupe na The Great?
SOMOE NI SCAM. HANA UWEZO . NCHI INAHITAJI GREAT MIND AND INTELLIGENT PEOPLE

IMAGINE MTU ANAKUAMBIA DÉNI LA TAIFA TATIZO NI MNALISOMA KWA TZS , NDIO MAANA LINAONEKANA NI KUBWA , WHAT A SHAME

YAAN MTANZANIA ASOMEWE DÉNI LA TAIFA KWA FEDHA ZA KIGENI? PESA YA TAIFA NI DOLA AU SHILINGI, HAPO NDIO NIKAJUA HUYU SOMOE NI BORA KUMEKUCHA HAJUI HATA ANAFANYA NINI.

Wa tu WANATAKA MAJIBU AS TO WHY DÉNI LINAZIDI KUKUA NA MIRADI HAIISHI, MABARA BARA NI MWAKA WA 4 SASA, PESA ZINAÉ’NDA WAPI?

Majibu Yake NI ETI DENI NI KUBWA KUTOKANA NA AWAMU ZA NYUMA, KAMA NI AWAMU ZA NYUMA SAWA , PESA INAENDA WAPI? Wewe SI NDIO RAIS , UNATUAMBIAJE HUJAKOPA WAKATI UMEKUTA DÉNI TR 60
NA SASA DÉNI NI TR 107 ! SOMOE WAS SUPPOSÉD KUWA MKUU WA WILAYA SIO RAIS WA NCHI … SHE IS INCOMPETENT NA HÀNA MAJIBU YA MASWALI YA WATÀ’ZÀNIA WENYE AKILI TIMAMU NA UCHUNGU NA NCHI YAO
KAMA MIKOPO INGEKUWA INATAJIRISHA TAIFA, MALAWI WOULD BE RICH BY FAR

KUNA JAMAA ALIKOPA
PESA OFISINI
AKABAKI
NA
1/3 , kwa Bank nyingi ukifika hii hatua unakuwa haukopesheki. Ila KUNA BÀNK ILIMFUATA IKAMWAMBIA UNAKOPESHEKA…. WEKA KIWANJA. JAMAA AKAWEKA KIWANJA …. Ni
Sawa na ya SOMOE NA
MWIGÛLU …BADO TUNAKOPESHEKA ILA
IPO SIKU TUTAAMBIWA IKULU
IMEUZWA
KAMA COLLATERAL
 
Nchimbi amekuwaje Mwenyekiti wa Uvccm Taifa kama hajui kuongea?

Na Uvccm ya Dr Nchimbi ndio Uvccm ya mwisho kuheshimika baada ya hapo Uvccm imebaki kuwa ni wing ya machawa tu.
Basi ni hivi hatokaa auone Urais , biashara yake imeishia hapo hapo kwenye u VP
 
Ili kuokoa nchi, maana tulikuwa tunaenda kuitwa Jamuhuri ya wabakaji na upoteaji wa watu
 
Nchimbi amekuwaje Mwenyekiti wa Uvccm Taifa kama hajui kuongea?

Na Uvccm ya Dr Nchimbi ndio Uvccm ya mwisho kuheshimika baada ya hapo Uvccm imebaki kuwa ni wing ya machawa tu.
Acha kujibizana na watoto.

Nguvu yao ni malipo ya hela za bundle.

Hakuna mtu mwenye akili zake timamu anaweza mchukulia Nchimbi poa kwa mbinu za vita.

Sasa ukiona mtu ana mchukulia huyo mtu poa, jua ni sakapoko tu ambae; hajui Samia mpaka anagombea 2025 ni akili ya nani.
 
Yuko nje ya nchi kumwakilisha Mhe. Rais kwenye mikutano mbalimbali Nigeria na Spain. Uliza lingine wa kuungaunga, kwani ulitaka kusemaje?
Kama ile ziara ya mama yako tanga kipindi kile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…