Pawa ya msraafum pale ni mstaafu alisukuma kete moja akala nyingi hadi KING. Wstu walipigwa sapraiz kwa kumpitisha mgombea kwa kuwapiga wengine chenga za visiginoAlivyo na tamaa mzanzibar yule, anataka yeye tu ndio anafaa. Angeruhusu mchakato watu wachukue fomu yeye asimamie zoezi watu wapige kazi....aache tamaa tu sababu hata uzalendo hana kutukana wabeba mabango tu na mipasho ndio anazimudu😋
Wale wa kule Zimbabwe nadhani hawakuapa kutii maagizo ya RaisAkina nani wazalendo? JWTZ?
Hata wakiwa wazalendo vipi, wameapa kutii maagizo ya raisi, hawawezi kwenda kinyume na anavyotaka.
Wewe nawe utakuwa kilaza mno,Ndiyo hapo nilitafuta habari zake.Na mpaka nikajua alifariki 2002 .Kwani si unaweza ukawa haufahamu na ukatafuta kumfahamu mtu.View attachment 3388566
unakumbuka hii post yako? Mwaka 2011 ulisema humjui Ipyana, inawezeka vipi umjuwe mwaka 2001?
Waitu mushanage?
Nibora tu mkuu, acha kututishaMnatamani sana Tanzania iingie kwenye utawala wa kijeshi
Jiandaeni kuzeeka bila kuona hiyo situation
JWTZ ambayo mkuu wake ana ndugu Rwanda upande wa baba yake ? Huu ni uwongo na propaganda labda ungesema ndani ya chama wao kwa wao.👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Kwahiyo katiba inasema kuna muda wa kumalizia ndio uanze muda wako?Kulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
Panapo na moshi pana motoAcheni uzushi
Embu mkuwe jamani hayo mambo mnayoongea hayawezekani, bunge linavunjwa rasmi na sheria august 3, huo ni utaratibu wa kawaida miaka yote illi kukidhi matakwa ya sheria, uzushi uzushi sio harakati ni ujinga👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
Mkapa, Kikwete, MagufuliKulingana na katiba, raisi akitoka bara anaefuata ni visiwani. Mda wa JPM anaumalizia mama, anaefuata ni kutoka Zanzibar.
Mkosa akili ww ,Dr Samia ni mzalendo sana👉Kumekuwa na minong'ono mingi ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu,wakitaka mabadiliko ya mgombea Urais, huku balozi
dr.nchimbi akinyoshwewa vidole kushika nafasi hiyo,kukinusuru chama! kuendana na matakwa ya JWTZ kutaka mtu mzalendo kushika nafasi hiyo...! ndio maana tarehe ya kulivunja bunge la 12 ambayo ilipangwa kuvunjwa kwa bunge siku ya jana imesogezwa mbele🙌🙌🙌
👉Hizi ni zile habari za ndani ya kapeti🙌🙌🙌
View attachment 3388499
KabisaKukinusuru chama? Kwani chama kina mshindani gani tena wakati CHADEMA haitashiriki uchaguzi?