Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?
Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga kupindua Serikali? Mbona hoja ya msingi imekwepwa? Chadema ni kama imeishiwa hoja na agenda kabisa. Badala ya kuandamana kupinga ugumu wa maisha mnakuja na maigizo ya Kenya ya "Ruto Must Go!".
Msiige kunya kwa tembo. Kenya Gen Z 60 walipoteza maisha na miongoni mwao hakuna mtoto hata mmoja wa viongozi wa uponzani waliogharamia maandamano yasiyokoma zaidi ya hapo walipewa vyeo na kuacha misiba katika familia 60.
Vyombo vya usalama zuieni mapinduzi haya ya kupanga. Umma uko na Rais Samia Suluhu Hassan "MwaMwi". Tukutane Sept 23.
Pia soma:Rais Samia: Kama Wapinzani wameota Mikia Sheria zile zile bado zipo