Pre GE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumchapa mtu lakini akawa anajihisi ana mazingira huru ya kulilia nayo ni hekima ya juu kabisa katika uongozi
 
Samia must vacate the seat.
Samia must dismiss herself.
Or else, she will be ousted
Delusion....

You really need an emergency treatment at acute ward no.14 Mirembe hospital....

#Treason and it's devilish
 
Unabashiri au umekopi maneno ya watu. Huna uhakika na ukisemacho. Na sijawahi kumsikia Mbowe anasema ni ccm. Wewe umetoa wapi habari hiyo umekaririshwa na nani? Andika ulicho na uhakika hata kama umejificha jf
Mbowe ni mtu wa usalama wa taifa na anapiga pesa ndefu kupitia haya masuala ya maandamano. Ananeemeka kupitia masuala ya demokrasia kwa kuingiziwa mapesa mengi na taasisi za kidemokrasiaz za Uingereza na Marekani.

Humu anao watu wake na anawalipa pesa mbuzi tu kulinganisha na kile anachoingiziwa yeye kwenye akaunti zake.
 
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?

Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga kupindua Serikali? Mbona hoja ya msingi imekwepwa? Chadema ni kama imeishiwa hoja na agenda kabisa. Badala ya kuandamana kupinga ugumu wa maisha mnakuja na maigizo ya Kenya ya "Ruto Must Go".

Msiige kunya kwa tembo. Kenya Gen Z 60 walipoteza maisha na miongoni mwao hakuna mtoto hata mmoja wa viongozi wa uponzani waliogharamia maandamano yasiyokoma zaidi ya hapo walipewa vyeo na kuacha misiba katika familia 60.

Vyimbo vya usalama zuieni mapinduzi haya ya kupanga. Umma uko na Rais Samia Suluhu Hassan "MwaMwi". Tukutane Sept 23.
Hu kilaza kweli
 
Shida hapa ni kushindwa kulinda uhai wa wananchi wake. Hata Katiba aliyoapa kuilinda inatetea kwa nguvu zote uhai wa binadamu.
 
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?

Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga kupindua Serikali? Mbona hoja ya msingi imekwepwa? Chadema ni kama imeishiwa hoja na agenda kabisa. Badala ya kuandamana kupinga ugumu wa maisha mnakuja na maigizo ya Kenya ya "Ruto Must Go".

Msiige kunya kwa tembo. Kenya Gen Z 60 walipoteza maisha na miongoni mwao hakuna mtoto hata mmoja wa viongozi wa uponzani waliogharamia maandamano yasiyokoma zaidi ya hapo walipewa vyeo na kuacha misiba katika familia 60.

Vyimbo vya usalama zuieni mapinduzi haya ya kupanga. Umma uko na Rais Samia Suluhu Hassan "MwaMwi". Tukutane Sept 23.
Hivi huwa wanaofanya mapinduzi wanatangaza?
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Hayo mauwaji yamekufuraisha unaongea ukiwa umeshiba na kupumuajamba...laiti ungepitia mateso ya yule Mzee usingeleta urojo hapa
 
Mkuu sifurahishwi na mauwaji ya yeyote...

Nilicholeta hapa ni slogan itakayotumika kwenye maandamano yanayoitwa ya amani...

Chadema ni chama kinachojipambanua kua na vijana wasomi na wajuvi kweli kweli...

Tufafanulieni "Samia must go" ina maana gani kwenye maandamano ya amani?
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...

Inategemea na tafsiri yako.

Kwani walisema wanamuondoa kwa maandamano au wanatumia maandamano haoyo kutoa awareness na kumuondoa kwa kura...!!? Tatizo la Watanzania ni kuwa na negative thinking inapokuja kwenye maswala ya Wapinzani. Na CCM kwa madhambi yao waliyowafanyia Watanzania kwa miaka 60, kila wakiguswan na unyasi wanafikiri ni nyoka.
 
Unaweza kuwa sahihi...

Lakini kulikua na haja gani kutoa kauli tata kama nia ni njema?
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Wewe ndio hujui uhuru wa kisiasa ukoje.
 
Uhuru wa kisiasa kwenye kauli kama hizo?

Emu fafanua Samia must go mlikua na maana gani?
Viongozi wa kisiasa na hata wananchi wana haki ya kusema mtu fulani anafaa au hafai, abaki au aondolewe.
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Ni mataoke ya chama kuendeshwa na wahuni waliofeli kidato cha nne (Shame)
 
Viongozi wa kisiasa na hata wananchi wana haki ya kusema mtu fulani anafaa au hafai, abaki au aondolewe.
Good umeeleza vizuri..

Kwahiyo kimsingi hiyo kauli ilikua ni kauli tu, hamkumaanisha kumuondoa kweli, mlisema tu kwasababu kusema ni haki sio?

Maana Kwenye nchi za kidemokrasia, kiongozi huondolewa kwenye sanduku la kura...
 
Back
Top Bottom