Pre GE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

Pre GE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Good umeeleza vizuri..

Kwahiyo kimsingi hiyo kauli ilikua ni kauli tu, hamkumaanisha kumuondoa kweli, mlisema tu kwasababu kusema ni haki sio?

Maana Kwenye nchi za kidemokrasia, kiongozi huondolewa kwenye sanduku la kura...
Huyo Zanzibar walifanya hayo yanayoitwa “mapinduzi matukufu” kwanini sio hapa Tanganyika?
 
Huyo Zanzibar walifanya hayo yanayoitwa “mapinduzi matukufu” kwanini sio hapa Tanganyika?
Mkuu unawezaje ku relate sababu zilizofanya Wazanzibari wafanye mapinduzi kipindi hicho na hali tuliyonayo sasa...

Nielimishe mkuu!

Huenda najadili na mtu anayeona bado tuko 1960s...
 
Hiyo kauli ya kihaini imewaharibia sana. Ila kwasababu wameshajiingiza kwenye mfumo dola inawasubiri hiyo tarehe 23.
Hawa jamaa nimeanza kua na mashaka nao...

Huenda wanatoa kauli za hivi makusudi ili wazuiwe wapate huruma kimataifa...

Maana haiingii akilini kabisa!

Kama lengo lao ni kutaka kuzuiwa ili iwape kick, wamefaulu...
 
"Samia must go" inaondoa sababu mahsusi ya maandamano hayo....

Ambayo kimsingi yamechagizwa na mauaji ya mzee Kibao wa Tanga(Mungu amrehemu) na upoteaji wa vijana Soka na wenzake(Mungu awalinde)

Kimsingi wangekuja na kauli ya kupinga utekaji na mauaji ya raia wangepata uungwaji mkono mkubwa...
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
 
Uko sahihi, leo hii Israel au taifa lelote la kiarabu likipigana na Tanzania!

Utaona maajabu!

Maana vijana wa kikristo na kiislamu watapambana upande wa maadui...
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Zamani miaka ya 1972 tulikuwa na mbwa jina firongo, mwaka huo nilikuwa darasa la 4, tulimfundisha jinsi ya kuwa mkali na akawa mkali, mkubwa kiasi na mwenye afya nzuri alikuwa anafungwa kwenye mnyororo lakini muda wa ulinzi wake tulimfungilia tulimpenda sana na yeye alikuwa na upendo nasi.

Nakumbuka kuna baadhi ya siku tulikuwa tuna cheza naye nadhani alifurahia maisha, sikia hili, kuna wiki mvua ulifululiza kunyesha alikuwa anaingia uvunguni mwa kitanda ukimuona unamfukuza anatoka kuna siku nilipo jaribu kumuondoa huko uvunguni alinibadilikia sikuwa yule ninae mlisha, muogesha akiwa na wadudu ama kucheza naye maana nilichukua fimbo kumpa kibano lakini alinidindia yaani hadi kutaka kunidhuru, mimi ilibidi nifyate mkia, (mkia ulikuwa ghafla)

Binadamu pia akichukia sana anakuwa kichaa, kila mtu ni kichaa na ukichaa humfika akiwa na hasira
 
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake

au

Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...

Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Hana akili baada ya kuitisha maandamano kupinga mauaji wao wanasema Samia must go hawajui wanachangaja madawa
 
Pande zote ni wale wale tu..., na sisi wananchi tumeshatoka kwenye reli kwa kujikita kwenye kutupia maneno pande hii au ile..., na kuachana na mzizi wa fitina ambao ni kwamba kuna watu wameuliwa na hatujapatia dawa hilo tatizo....

"Justice should not only be done but also Seen to have been done"
 
Uko sahihi mkuu...

Ila hawa viongozi wa Chadema ndio wametutoa relini...

Unafikiri wangeamua kuanzisha maandamano kwa slogan ya 'Justice for Kibao" hali ingekuwaje?

Nina uhakika nchi nzima ingelipuka...

Samia must go hata mlevi anajua huu Msala...
 
Jf ni platform kubwa sana...

Platform kama hii kuwa na kipengele cha kuunganisha nyuzi bila kutoa sababu ni udhaifu.
 
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?

Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga kupindua Serikali? Mbona hoja ya msingi imekwepwa? Chadema ni kama imeishiwa hoja na agenda kabisa. Badala ya kuandamana kupinga ugumu wa maisha mnakuja na maigizo ya Kenya ya "Ruto Must Go!".

Msiige kunya kwa tembo. Kenya Gen Z 60 walipoteza maisha na miongoni mwao hakuna mtoto hata mmoja wa viongozi wa uponzani waliogharamia maandamano yasiyokoma zaidi ya hapo walipewa vyeo na kuacha misiba katika familia 60.

Vyombo vya usalama zuieni mapinduzi haya ya kupanga. Umma uko na Rais Samia Suluhu Hassan "MwaMwi". Tukutane Sept 23.

Pia soma:Rais Samia: Kama Wapinzani wameota Mikia Sheria zile zile bado zipo
Naona ile albadir imeshaanza kufanya kazi kama kweli serikali nzima na vyombo vyake inaamini kuwa Chadema wanaweza kumpindua Samia basi kisomo kiko kazini na watajichanganya sana
 
Back
Top Bottom