Huyo Zanzibar walifanya hayo yanayoitwa “mapinduzi matukufu” kwanini sio hapa Tanganyika?Good umeeleza vizuri..
Kwahiyo kimsingi hiyo kauli ilikua ni kauli tu, hamkumaanisha kumuondoa kweli, mlisema tu kwasababu kusema ni haki sio?
Maana Kwenye nchi za kidemokrasia, kiongozi huondolewa kwenye sanduku la kura...
Mkuu unawezaje ku relate sababu zilizofanya Wazanzibari wafanye mapinduzi kipindi hicho na hali tuliyonayo sasa...Huyo Zanzibar walifanya hayo yanayoitwa “mapinduzi matukufu” kwanini sio hapa Tanganyika?
Umeuliza swali la kipumbavu mno. Basi jiteue uwe kiongozi wa mapinduziHuyo Zanzibar walifanya hayo yanayoitwa “mapinduzi matukufu” kwanini sio hapa Tanganyika?
Hawa jamaa nimeanza kua na mashaka nao...Hiyo kauli ya kihaini imewaharibia sana. Ila kwasababu wameshajiingiza kwenye mfumo dola inawasubiri hiyo tarehe 23.
My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake
au
Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...
Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Uko sahihi, leo hii Israel au taifa lelote la kiarabu likipigana na Tanzania!Utamaduni ni uchumi
Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana! Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania? Ni upi? Maana utamaduni ni uchumi, Utamaduni ni sera. Utamaduni ni siasa, Utamaduni ni imani...www.jamiiforums.com
Zamani miaka ya 1972 tulikuwa na mbwa jina firongo, mwaka huo nilikuwa darasa la 4, tulimfundisha jinsi ya kuwa mkali na akawa mkali, mkubwa kiasi na mwenye afya nzuri alikuwa anafungwa kwenye mnyororo lakini muda wa ulinzi wake tulimfungilia tulimpenda sana na yeye alikuwa na upendo nasi.My take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake
au
Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...
Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Hana akili baada ya kuitisha maandamano kupinga mauaji wao wanasema Samia must go hawajui wanachangaja madawaMy take; Anayetunga slogan za Chadema ni eiza hana nia njema na viongozi wake
au
Amegundua hawana akili na kwamba wanapokea kila kinachowafurahisha...
Mtu mwenye nia ya kuandamana kwa amani hawezi kutoa kauli kama hiyo...
Uko sahihi mkuu...Pande zote ni wale wale tu..., na sisi wananchi tumeshatoka kwenye reli kwa kujikita kwenye kutupia maneno pande hii au ile..., na kuachana na mzizi wa fitina ambao ni kwamba kuna watu wameuliwa na hatujapatia dawa hilo tatizo....
"Justice should not only be done but also Seen to have been done"
Naona ile albadir imeshaanza kufanya kazi kama kweli serikali nzima na vyombo vyake inaamini kuwa Chadema wanaweza kumpindua Samia basi kisomo kiko kazini na watajichanganya sanaHakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?
Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga kupindua Serikali? Mbona hoja ya msingi imekwepwa? Chadema ni kama imeishiwa hoja na agenda kabisa. Badala ya kuandamana kupinga ugumu wa maisha mnakuja na maigizo ya Kenya ya "Ruto Must Go!".
Msiige kunya kwa tembo. Kenya Gen Z 60 walipoteza maisha na miongoni mwao hakuna mtoto hata mmoja wa viongozi wa uponzani waliogharamia maandamano yasiyokoma zaidi ya hapo walipewa vyeo na kuacha misiba katika familia 60.
Vyombo vya usalama zuieni mapinduzi haya ya kupanga. Umma uko na Rais Samia Suluhu Hassan "MwaMwi". Tukutane Sept 23.
Pia soma:Rais Samia: Kama Wapinzani wameota Mikia Sheria zile zile bado zipo
Kwani Samia Ali aliingua madarakani kinyume na Katiba?Serikali ni halali kivipi mkuu,tufafanulie nasi tupate elimu hiyo