PostGE2025 Samia, Mwigulu, UVCCM na machawa wote, mbona wako kimya kuhusu mashitaka ya ICC?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.

Swali: Ni kwanini?

Je, wanaona aibu?

ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?

Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?

Muda utaongea.
 
Wanafamilia hukaa hapa kufuatilia mwanafamilia mwenzao akijambishwa
1765344061394.jpeg

Hilo LI screen litaonesha zile video 300 japo kwa kigezo Cha muda wataonesha chache zikiunganishwa na lile kaburi

Sikuhiyo hakuna kupaka hina Wala lipshine nyekundu.

Kuna kiyoyozi lakini jasho litakuwa linatiririka

Hakuna kulegeza macho siku hiyo. Hakuna atakaye muangalia mwenzake kwa huruma.

Hakutakuwa na wakili wa serikali katunga ku spin mambo.

WANAUME WATAKUWA KAZINI
ICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
 
Wanafamilia hukaa hapa kufuatilia mwanafamilia mwenzao akijambishwa
View attachment 3513743
Hilo LI screen litaonesha zile video 300 japo kwa kigezo Cha muda wataonesha chache zikiunganishwa na lile kaburi

Sikuhiyo hakuna kupaka hina Wala lipshine nyekundu.

Kuna kiyoyozi lakini jasho litakuwa linatiririka

Hakuna kulegeza macho siku hiyo. Hakuna atakaye muangalia mwenzake kwa huruma.

Hakutakuwa na wakili wa serikali katunga ku spin mambo.

WANAUME WATAKUWA KAZINI
Zidisha kujaza form
 
Ikitoka Arrest Warrant anabaki kuwa wa hapa hapa.

Hiyo tayari ni Jela.

Hizo pesa za wizi, anazochota Abdul kupeleka Uganda na Dubai ndio basi tena
story za mitaani zinawasumbua sana 🤣🤣🤣
 
Akienda na Hilo gwanda kwenye picha with full escort ya wambura, mkunda na muliro itapendeza sana.
ongeza nguvu kwenye kujaza fomu 🤣 🤣 , kwenye fomu andika amesema hawawezi kumkamata
 
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.

Swali: Ni kwanini?

Je, wanaona aibu?

ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?

Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?

Muda utaongea.
Wakianza safari kwenda the Hugue nitakuwa nawasindikiza hadi viwanja vya ndege watakavyoondokea.
 
Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.

Swali: Ni kwanini?

Je, wanaona aibu?

ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?

Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?

Muda utaongea.
INTERNATIONAL CHICKEN CHIPS
 
Back
Top Bottom