Huyo shetani lini amesafiri?ata akikanyaga nchi za watu ICC wana uwezo wa kumkamata?
kusafiri ni mashindano?Huyo shetani lini amesafiri?
yaani unamtishia mtu kifo wakati we mwenyewe marehem mtarajiwaAkikunywa zaidi ya lita 10000 za damu za watu, mpaka na za watoto wadogo, atakufa kifo kibaya sana na cha aibu.
Cha kwake kila Mtanzania anakisubiri kwa hamu sana, itakua ni furaha na faraja sana.yaani unamtishia mtu kifo wakati we mwenyewe marehem mtarajiwa
ICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
ICC wamkamate president sio 🤣 🤣arrest warrant kama kweli ikitoka, kila kitu kinabadilika, hata regime change inakuwa justified na itafwatia, tena kwa nchi dhaifu na tegemezi kama hii, ni mara moja tu, atakuja raisi mpya ambaye atawaruhusu wakamataji wa icc kuingia nchini na kuwashika moja kwa moja, tutawasahau na kuendelea na maisha …
furaha gan sasa na wewe ni marehem mtarajiwa, au una depressionCha kwake kila Mtanzania anakisubiri kwa hamu sana, itakua ni furaha na faraja sana.
ICC wamkamate president sio 🤣 🤣
Ungejua walikuja juzi wakatimuliwa uko kwa samia mbali sana, walitimuliwa airportkwani atakuwa president milele? isitoshe kama kweli arrest warrant ikitoka, hilo figisu lake baada ya hapo na uraisi ataachia tu whether anataka au hataki …
Miongoni mwa viumbe wakwanza kujitokeza hadharani kushangilia ni Luca,Stunix,Mentamycini na lile jopo chinja chinja la mo29 na timu utekaji! Kwaniajabu na kqeli wanatumwa ila hata wenyewe hawapendi ila hawana namna hivyo hata baadhi ya taarifa zilitolewa na wenyewe!Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?
Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?
Muda utaongea.
Samia atachunguzwa na ICC kwa kuwa kuna madai yamepelekwa na wanaharakati.Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?
Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?
Muda utaongea.
SafiMmetepeta kwenye maandamano yenu feki sasa mnaleta ngonjera za icc
Ungejua walikuja juzi wakatimuliwa uko kwa samia mbali sana, walitimuliwa airport
kwamba waje kumkamata president si ndio 🤣 🤣 , yaani wameruka na ndegee weeee wakaingia pale airport wakaclear wakaingia bila ruhusa si ndio 🤣🤣arrest warrant haijatoka bado, kama ikitoka itakuwa live dunia nzima, msn kama zote zitakuwa live yule janjaweed mwenzunu wa sudani aliyekula miaka 20 …
Ikifika wakati huo utajua vyema hata kama itakuwa internal chukua chako!INTERNATIONAL CHICKEN CHIPS
kwamba waje kumkamata president si ndio 🤣 🤣 , yaani wameruka na ndegee weeee wakaingia pale airport wakaclear wakaingia bila ruhusa si ndio 🤣🤣
aje sasa? 🤣 kwamba wataingia nchini bila ruhusa na kumkamata sio 🤣🤣, kwanza wana jeshi hata la kukamata mtu au hata mgambo wanao 🤣wakati huo raisi tena, kwani uraisi wa tanzagiza ni mali yenu? arrest warrant ikitoka regime change ni inevitable …