Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Mpe elimu uyo mpumbavuICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
Labda aishi humu humu nchini na asikanyage nchi za watu.ICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
ata akikanyaga nchi za watu ICC wana uwezo wa kumkamata?Labda aishi humu humu nchini na asikanyage nchi za watu.
Acha hasira. ICC itapita nae tu labda aishi humu humu mpaka siku anaondoka duniani.Mpe elimu uyo mpumbavu
ICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
Zidisha kujaza formWanafamilia hukaa hapa kufuatilia mwanafamilia mwenzao akijambishwa
View attachment 3513743
Hilo LI screen litaonesha zile video 300 japo kwa kigezo Cha muda wataonesha chache zikiunganishwa na lile kaburi
Sikuhiyo hakuna kupaka hina Wala lipshine nyekundu.
Kuna kiyoyozi lakini jasho litakuwa linatiririka
Hakuna kulegeza macho siku hiyo. Hakuna atakaye muangalia mwenzake kwa huruma.
Hakutakuwa na wakili wa serikali katunga ku spin mambo.
WANAUME WATAKUWA KAZINI
Akienda na Hilo gwanda kwenye picha with full escort ya wambura, mkunda na muliro itapendeza sana.Zidisha kujaza form
Ikitoka Arrest Warrant anabaki kuwa wa hapa hapa.ICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
Bado hamjasemaMmetepeta kwenye maandamano yenu feki sasa mnaleta ngonjera za icc
story za mitaani zinawasumbua sana 🤣🤣🤣Ikitoka Arrest Warrant anabaki kuwa wa hapa hapa.
Hiyo tayari ni Jela.
Hizo pesa za wizi, anazochota Abdul kupeleka Uganda na Dubai ndio basi tena
ongeza nguvu kwenye kujaza fomu 🤣 🤣 , kwenye fomu andika amesema hawawezi kumkamataAkienda na Hilo gwanda kwenye picha with full escort ya wambura, mkunda na muliro itapendeza sana.
Wakianza safari kwenda the Hugue nitakuwa nawasindikiza hadi viwanja vya ndege watakavyoondokea.Tangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?
Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?
Muda utaongea.
Akikunywa zaidi ya lita 10000 za damu za watu, mpaka na za watoto wadogo, atakufa kifo kibaya sana na cha aibu.ICC wana huo uwezo sasa wa kumkamata 😂😂
INTERNATIONAL CHICKEN CHIPSTangu mauji ya October 29, 2025 mpaka November 3, 2025 yatokee yaliyopelekea watawala kushitakiwa katika Mahakama ya ICC, hatujamsikia Samia, Mwigulu, UVCCM na hata Msemaji wa Serikali akisema lolote.
Swali: Ni kwanini?
Je, wanaona aibu?
ICC ikiridhika kuwa wana kesi ya kujibu na kutoa arrest warrant, wataendelea kukaa kimya?
Wakishitakiwa rasmi, unadhani reaction ya watanzania itakuwaje siku hiyo hasa kwenye mitandao?
Muda utaongea.