Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Hawawezi mkuu!

Toka 2015 tuliwambia wapiganie tume huru wao wakaishia kujadili kingereza cha Magu

Tume huru imeanza kupiganiwa toka mfumo wa vyama vingi urejee hapa nchini. Ila uzoefu unaonyesha ni ngumu tume huru kupatakina kwenye nchi za kiafrika kwa njia za amani.
 
Mwanasiasa makini anaomba kura ya kila mtu.

Hata kama ananuwezo wa kuiba kura.

Mwanasiasa mpumbavu anasema hata asipopata kura yako haihitaji.

Makamu wa Rais, katika hili, amekuwa na kiburi cha kipumbavu.

Halafu watu hawahawa watasemq hii ninserikali ya wanyonge? Wakati inawazodoa kwa kuwaambia haihitaji hata kura zao?
 
Makamu wa Rais huna cha kupoteza, utalipwa mshahara 80% mpaka unakufa. Lakini ujue watanzania hawatawarudisha na mwenzio. Ulikuwa mama wa kupigiwa mfano, umekaa karibu na jiwe umekuwa mgumu!
Akijihusisha na upuuzi wa kuiba kura cha kupoteza anacho bwana! Hiyo 80% ataisikia kwenye makaratasi na kama anadhani wanawake hawafungwi ajihusishe tuu.

CCM itashinda kweli kwa kura nyingi za kuitosha kuwa chama kikuu cha upinzani. Hiyo sio juhudi haba
 
Usijifanye kujua kiingereza wakati hujui hata mtoto wa kindergarten anakushinda.
 

Bahati yako mimi sio mjaluo, ulichoandika hapo kunifanya nijieleze sana, angalia michango yangu unaweza kupata picha . Asante tuzungumzie siasa na maoni kwa ujumla kwa kuwa ndio kilichotufanya tuwe hapa.
 
Nini mantiki ya yeye kuzurura mikoani ili kupiga kampeni kama anajua mshindi atapatikana bila kupigiwa kura?
Kwanini asitulie tu nyumbani kwake ili muwewe ampe haki yake ya unyumba?

Halafu utashangaa kuna wanaCCM watajitokeza kwenda kupiga kura.
Tunamuangalia tu mkuu , tukifunguka asije akamlilia mtu
 
Reactions: BAK
So which part of the construction you exactly have found faulty?
Huu mda sio wa kukufundisha au kukusahihisha tunajadiri kauli iliyotuchefua ya hovyo kabisa ya huyo shangazi yako.
 
Huyu mama sijui...ngoja ninyamaze
 
I think you better point out the mistakes so I can perhaps make a remedy.
Hahaha ndio maana upo ccm kwa umbumbu huu khaaa hata mwanangu wa darasa LA NNE anakutoa wajinga wengi wapo ccm afu kiingereza kama cha shilole vile
 
CCM ikitaka kuwa imara tusiogope kupoteza uchaguzi huu kwani hata mbegu huzaa sana baada ya kuwekwa aridhini ambako itachipuka na kuota tena na hatimae kuzaa zaidi.Kamanyola zilizojitokeza miaka miwili iliyopita, Chama kimepoteza confidence kutoka kwa wananchi na kupoteza matumaini.Tunahitaji kujijenga upya baada ya kushindwa katika uchaguzi huu.Chama kwa sasa kinajifanya kuwa hakijagawanyika,lakini ukweli uko dhahiri
 
Haya maCCM hovyo sana. Mwingine juzi kasema Mungu apende, Mungu asipende, ushindi kwa CCM ni lazima! Yana laana haya maCCM.
 
This is very serious. She implies that there is no need for elections. It is CCM ever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…