PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mzungu hatishwi ajiangalie sana.
Muda si mrefu atakula matapishi yake!! Nchi imefilisika kwa sababu ya Uongozi wake mbaya ni punde tu madeni aliyokopa nje yataiva hivyo itambidi kutembeza bakuli kama atakuwa bado madarakani!
Maisha ya wananchi yatakuwa magumu kiasi kwamba hata chawa wake itabidi wamkimbie atakapofurumushwa.
 
We chizi,Kitima sio size yako, na huyo depe tupu lazima apige goti, TEC, TECni lidude likubwa mno ,wachana na huyo mchambaji failure
 
In the recent past 2 to 3 decades we have experienced most African puppets who are fearful to outspeak the reality of biased political condenmnation against African Governments.
We have heard the bullying and defaming of our chosen African heroes.

This behaviour of Europeans agents of chaos has left most of African nations with nothing but bowing down to the colonial masters.

Today's Samia Suluhu Hassan Speech has reminded African leaders ,nationalists and panafrican Comrades to reunite and get back into their sense.

This is the era of how genuinely Africans can execute their potentials in building economies and prosperities without interfearence.

Samia Suluhu hassan's speech when meeting with Dar es salaam elders(famously known during africa freedom fighting) has touched the world of forgotten and undermined heroic speakers against colonialism and neo colonialism.
Asante is the swahili word meant to express "THANK YOU"
I Say thank you Rais Samia Suluhu Hassan.
They eliminated Magufuli but here we have the brave iron lady to protect the sovereignty of URT and Africa at large.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!PROUDLY TANZANIAN!!
 
Kwa Bahati mbaya sana ,Kuandika kingereza hua hakuondoshi Ujinga wa MTU .


Wewe ni Mjinga tu
 
Night operations, unmarked vehicles, silent detentions — these signify not strength, but insecurity.
A confident regime uses law.
A dying one uses shadows.

Across Tanzania in 2025, these shadows became a language:
disappearances, torture cells, mass killings across regions.
This is the unmistakable signature of a system operating without strategic clarity — only fear.
 
You've just exposed your unprecedented level of stupidity, this illiterate Samia is nothing but just a serial killer.
 
Sijui kama kimombo kwa huyu shosti kinapanda na kama ataweza kuelewa hiyo Pan-Africanism. Sijui kama narcissist na nihilist kama huyu ambaye nasikia alipata D moja O'level anaweza kuambua kitu mwanangu. Huyu, naona anafaa kwa mipasho na taarabu.
 
Alipowarushia vijembe akina Mange Kimambi na Tundu Lissu, nilidhani Rais samia angejua nani ni saizi yake na nani wa kupayukia. Anauliza EU ni nani kwa vile wamemnyima fedha! Hajui ni nani? Sasa atajua kuwa hata hiyo ICC iko kwao na wana nguvu na yeyote hasa hawa ombaomba wetu waliokalia utajiri wanaojitembeza kila uchao wakati mali wanazo lakini wamezikalia. Leo, utasikia eti wanatuonea wivu! Kweli? Kwa lipi wakati tu mazwazwa na vibaka tena wanaoibia watu wao wenyewe wakati wenzetu wanaiba ili kuneemesha watu wao? Ama kweli nyani huwa haoni nonihinole.
 
Amechemka sana kuingia kwenye vita na mabeberu huku akifikiri atapata msaada kutoka kwa wajomba zake waarabu.
 
We are super power and if we want, you will no longer be a president of any country on earth!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…