Uchaguzi 2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

Mkuu so sasa hivi unaamini nyomi ndiyo wapiga kura? Maana wenzio waan mawazo tofauti na wewe . Ila ije mvua liwake jua Jiwe hashindi uchaguzi huu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Toka jana watu wamesombwa kutoka:
1 Makete
2.ludea
3. Isimani.
4. Kidomole.
5. Kilolo.
6. Mafinga,
7. Njombe.
8. shule na vyuo vyote waliopo wameambiwa waende .
9. Tasisi za serikali wamepewa uniform bure na kuambiwa waende.
10. Wafungwa nao hawapo nyuma.

h
 
Pongezi ziende kwa kamati ya usombaji na mmekula hela za asas ili msombe watu.



Ila kura zote ni kwa lissu.
 
Wasanii tunawatumia tangu 1995,na tunawapiga kila uchaguzi kuanzia Serikali za mitaaa mpaka Urais. Chama saccos cha mbowe, huwezi linganisha na CCM hata kidogo.
Kuna utopolo wenu mmoja alisema watatumia bendi yenu, unamkumbuka mkuu?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tuanzie kwako, je unaweza kusombwa kwenda kwenye mkutano bila ridhaa yako? Kama sio kwanini na saccos ya Mbowe isiweke fungu la fedha kwa ajili ya kusomba wananchi!
 
Reactions: nao
Mimi pia nipo hapa kwenye viunga vya mji wa iringa leo bajaji zilikua zinapita mitaani kusomba watu kwenda samora asubuhi kabisa mpaka nikajiuliza hawa watu kichwani wapo timamu kweli

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hairuhusiwi?
 
Hilo nyomi ata Mimi namashaka nalo sababu tangu Jana sikuona kama kuna shamrashamra za uchaguzi hapo Iringa
 
Mkuu, kile chama cha saccos kishajifia.Hakuna chama hapa Tanzania kinachoweza kuitoa ccm. Walijaribu 2015,wote wakaangukia pua. Leo eti Tundu anajinasibu ushindi atauona kwenye TV tu. Magufuli, tano tena.
Wewe jamaa unatak kumpeleka jiwe mahabusu au tano una maana gani? Lissu kampiga spana za kutosha, jiwe wananchi kama vile hawamwelewi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Lisu mwaka huu ataisababishia chadema kupata ruzuku kidogo sana kwa aaibu ya kushindwa atakayopata
Na ajiandae kutupiwa virago, maana mwenyekiti atadhani jamaa anataka cake yake.
 
Huyu ndiye Rais anayesuburi kuapishwa siyo like zwazwa.
 
Tuonyeshe wanaokwenda uchi kwenye mikutano isiyo ya ccm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti watu dizaini yako ndiyo watetezi wa jiwe na ccm, kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza, sasa wewe wamekuajiri kwa kigezo gani jamani? Hata ukiitwa mjinga bado umependelewa,

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
No bana usichanganye mambo sio mkutano wa kampeni hiyo ni CCM fiesta haina tofauti na Fiesta za Prime Time Promotion na Clouds FM ni katika mtindo huohuo

Hata hilo nyomi huwa minafuata Fiesta na sio mkutano wa kampeni
Yaani mnavyoweweseka hadi mnatia huruma .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…