Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hapo machifu wa wapi mbona uchifu ulikufa miaka mingu sana, kuleta uchifu ni hatari kubwa zaidi ya utawala wa majimbo, utawala wa majimbo hauna ukabila wakati chifu ni wa kabila husika.Jesca Msavandavangu mhehe mzawa wa Iringa aungwa mkono na machifu wa kihehe kuwa mbunge wao
Machifu wanyoosha mikono ju u kuwa watampa kura zao kwenye mkutano Leo wa kampeni Iringa uliofurika mno watu
Lisu alipisimikwa kuwa chifu wa wasukuma hewa alikuwa analiunganisha taifa la wapi?Hapo machifu wa wapi mbona uchifu ulikufa miaka mingu sana, kuleta uchifu ni hatari kubwa zaidi ya utawala wa majimbo, utawala wa majimbo hauna ukabila wakati chifu ni wa kabila husika...
Thubutuu,Mwambie Mbowe Fj nae apite bila kupingwa. Majaliwa ni mwanasiasa bora zaidi mara 10 ya Mbowe na Lissu..Tano tena.
Nambari wani hao. Wanabebwa tu kama misukule.
You have filled the stadium with students from high schools, colleges, universities, government employees who have been compelled to attend the rally, you have ferried people from rural areas to attend
All the way to icc the hague
Sijuwi hawa jamaa kusema uwongo uwa wanaona fahari gani ya yana jidanganya yenyewe alafu yana Furahia hawajui wizi una mwisho wake
Wapiga kura ni wananchi wote wa Iringa!So kura yangu moja ni sawa na kura moja ya huyo chief!
Wala hapa hakuna habari!
Sijawahi waelewa CCM kabisa Rushwa na 10% zime wa pofua machohawa jamaa ni kama nchi nzima wameambiwa kusema uongo, unatakiwa kuwazoea ivo ivo , kuanzia lissu mpaka hawa praise and worship ya mbowe wote ni wasema uongo
Wamesombwa kutoka wap mkuu maan haiwezekani iwe hivyo?Yaani mkutano mzima ni kijani na njano ! Hii ndo CCM na CCM ndo hii ! Wanachama kindakindaki wenye uhakika wa kupiga kura Tukutane 28 Oct! View attachment 1583674View attachment 1583675
Sijawahi waelewa CCM kabisa Rushwa na 10% zime wa pofua macho