Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Shida mmarekani anasifia vyake muda wote nakupinga from Asia na hasa China kwakua ndio mpinzani wake kiuchumi but products za Asia is user friendly sana na kwa uchumi wa Africa zinaendana.
 
Huwaoni kwenye hii
Mtu anakuambia Iphone ina hardware ngumu na durable zaidi kuliko Samsung, while huyo Samsung anatumia Gorilla Glass Victus+ na Iphone ana a mere Gorilla Glass.

Samsung anatumia Aluminum Frame while Iphone anatumia Stainless Steel Frame.

Glass front (Gorilla Glass Victus+), glass back (Gorilla Glass Victus+), aluminum frame
Glass front (Gorilla Glass), glass back (Gorilla Glass), stainless steel frame


Mpaka hapo Samsung 3 na Iphone 0.
 
Wabongo bana.. Waulize sasa hiyo security wanalinda nini.
 
Huu uzi umevamiwa na watumiaji na wapenzi wa Samsung alafu wanaleta fujo. Twendeni kwenye facts sio kuleta hasira zenu kisa iphone inatawala kwa sasa!
 
Endeleeni kulia cm mauzo hayaonekani. Iphone ni baba lao.
 
Google pixel is the best of all the time,ukibisha hujawahi tumia pixel
 

achana na mwanasiasa huyo atwambie hiyo s21 kaitoa wapi??!

sisi wengine ni machizi simu,na tuna maduka ya washkaji ambayo tunaweza kwenda na kutest simu moja mpaka nyingine.

S21 ni simu simu ambayo inaisumbua iphone 13 kwa kila aspect,labda speed ya kuwaka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…