Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung ni android.

Hana tofauti na tecno.

Hilo ndo linamfanya watu wamuone hayupo serious.

Angekuwa na OS yake atleast watu wangempapatikia kama Apple.
 
Hakuna iphone yeyote inayo izidi chochote Galaxy s22 ultra iliyopo sokon kwasasa

Hata hizo iphone 14, hakuna kitu inaizidi samsung galaxy s22

Mnaenda nunua Samsung A series mnazitumia kama kipimo, njoo kwenye galaxy S series huku
Tupe technicalities za superiority ya samsung over iphone.

Isiwe blah blah tu.
 
Hii feature ipo kwenye samsung s10..
 
Inategemea na angles za kupiga picha. Kuna mwamba anaitwa marques brownlee hayupo biased kwenye kuchambua simu huyo ni mbaguzi!

Usiwe mpuuzi.

Nileteee video moja ambayo Marques Brownlee anafanya comparison ya Camera za simu.

Hao wote mimi nawaangalia sana ila tukishafika kwenye comparison ya Camera za simu ndio tunaingia kwa watu kama Ben, Tech chap, Mr. Whosetheboss, Ahmen Safwan[Super Saf], Boredatwork n.k..

Huwezi kunishauri eti nikaangalie review ya simu hasa Iphone kwa mtu kama iJustine halafu nitegemee kupata cha maana.
 
Hebu toa Elimu basi Mkijana!!!!..

Binafsi huniamishi Samsung..
Ni unatoka hapa... unaenda pale...Mulemule[emoji1787]
🤠🤠🤠 Nawaacha na ushamba wao wa simu. Sie watumiaji wa Bonta hapa tunawachora tu na maisha yanaenda, app zote muhimu zipo, sms zaingia na kutoka.. Ila ukikuta ka mtu kana vimba kwamba iOS user ni bora kuliko android ujue huyo wa kuja au kaotea kufanikiwa kupata pesa
 
Hebu toa Elimu basi Mkijana!!!!..

Binafsi huniamishi Samsung..
Ni unatoka hapa... unaenda pale...Mulemule[emoji1787]
Both iOS and Android architecture are similar in principle but differ in execution. Respective architecture clarifies how their apps function. Largely, Android architecture is perceived to be open as compared to iOS. Android adopts a Linux kernel, whereas iOS opts a BSD-derived kernel called Darwin.

Kutokea hapo mtu hapati shida ya hizi simi 🤠🤠 Zodwa ume mpeleka wapi
 
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

Kwanza picha za Samsung huwezi kuzilinganisha hata kidogo na hayo makitu yao....

Usiku sasa...kuna watu hawawezi kupiga picha na hayo makitu...Maana wanajua...

Ila Samsung [emoji119][emoji119][emoji119]Anyway..Waacha tu waendelee kujitesa Aisee....siyo shida zetu[emoji28]
 
Kichwa kimeniuma ghafla[emoji28][emoji28][emoji28]
Yupo.. Zodwa unaitwa huku Baby girl..
 
🤠🤠🤠🤠 iPhone usiku ni vipofu. Mwisho wa siku hizi simu tunatumia kutokana na kazi flani, kuna issue iPhone ni nzuri sana na kuna issue Samsung ni nzuri sana.. Inafikia kipindi tunazitumia kutokana na nini nataka kufanya, ila sasa humu wanapenda show off na simu zenywe hizo iPhone wanavimba humu ni maused ndio wananunua
 
Watu hawana elimu pana ya Operating sysyem za simu au computer katika utendaji wake na architecture zake zilivyo. Wangejua hayo wange acha shobo za kuona iOS kama super sanaa
Mimi nikionaga mtu ana uelewa mdogo sana katika jambo tunaloargue huwa nakata tamaa sana hata kuzungumza naye.

Kama huyo anayesema Samsung ni sawa na Tecno kwa sababu zote ni android

Kazi kwelikweli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakuja...Na mimi sitaweza kukutetea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…