Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja waje uwa'sanitize
Sasa hivi umeondoa blich umewekq huo mtindo eeeh πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰ una mikato ya hatari kama madam wangu mmoja hivyo.. Hiyo hair style huwa ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ uwe umekula suluwale yako moja matata high heels isiyo umiza
 
Sasa hivi umeondoa blich umewekq huo mtindo eeeh [emoji6][emoji6][emoji6] una mikato ya hatari kama madam wangu mmoja hivyo.. Hiyo hair style huwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] uwe umekula suluwale yako moja matata high heels isiyo umiza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imebidi ipumzike kidogo.. nitarudisha..
 
Kioo na spare parts ukimaanisha price au...kama ni price unajua iphome 13 pro max display yake ni approx. 1M
 
Hapo cm za iphone ni more durable than Samsung usipoweka screen protector kwenye samsung yako utaikimbia baada ya mwezi. Iphone ina screen ngumu haipati mikwaruzo kama Samsung hivo iphone mpaka sasa iphone wanaongoza 1-0 tuendelee!
Mkuu unaongea vitu gani hv? Mm nna flagship ya samsung 2 yrs ina corning gorilla 6 sijawahi kutumia screen protector na haina scrarch hata moja...imagine hz zenye gorilla victus durability yake ikoje.
 
Huyo iJustine kama jina lake lilivo ni iSheep kindakindaki[emoji2][emoji38]
 

yule umarekani unamsumbua na marcusbrownlee,hawako fair hata siku moja.

ukitaka kupata picha halisi ya bidhaa muone aurun main(mrwhotheboss).
 
Kumbe hujui hata maana ya Flagship?
 
Ivi watu wa Iphone huwa mabando yenu mnayonunua yanatumika wp zaidi ya Kucheza na Mitandao ya Kijamii tu Haswa Haswa Istgram? Maana hamna hata uwezo wa Kununua zile Appy zao ninavyowajua Wabongo wa Iphone.

Siku zote ntazidi kuamini Iphone ni kwa Show off tu hamna zaidi. Halaf ukichaa mwingine asilimia kubwa wa Mic za Iphone ni mbovu, ukiwakuta wanavyoongea na simu sasa utafikiri wanatumia Radia Call anasikiliza masikioni akitaka kujibu anaileta Mdomoni anaongea ndo arudishe masikioni[emoji1787][emoji1787].

Acheni Shoo Off Karibuni SAMSANG tutawapokea kiroho safi maana tumechoka kuwa downlodia kila kitu na kuwarushia
 

ukiweka samsung nzima hapa na iphone nzima pale,ntachukua samsung.
lakini ni mara 1000x nitumie iphone yenye tatizo kuliko samsung yenye tatizo hilo hilo.

mfano angalia scenario hizi.
1.iphone 11 ina cracke mbaya ikiwa na kioo cha amored ukionewa huruma sana kuuziwa andaa 500k

2.samsung s10 ina cracke mbaya sana,hata mteja wa 250k utamkosa.

hii ni kusema ni rahisi sana na nafuu iphone kutengenezeka kuliko samsung.
iphone nyingi zinaingia bongo zikiwa na matatizo mbali mbali lakini yanavumilika.
 
Uzuri wa iPhone uuzaji.. Hukosi hela ya haraka haraka. iPhone asubuhi unaweza sema unataka mteja mchana imeenda. Na sio kwa poromoko kubwa la bei
 
Camera bumper is becoming bigger and bigger and bigger.

Mpaka mtoto wa Steve Jobs aliwaponda majuzi hapa kwamba iphone wameshakosa ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…