Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Hao "HOUTHI" ndilo wale waliokuwa wanashambulia meli kadha kadha?
Nimeuliza.
Amani iwe kwao.
 
Sawa askari wa zanzibar
 
I
Israel anajipigia tu popote pale Middle East dah
Osrael inafanya jambo jema sana na muhimu sana kwaajili ya usalama wa Dunia.

Haya majundi ya kigaidi hayastahili kuwepo katika Ulimwengu uliostaarabika.

Iran kama inayataka hayo makundi ya kigaidi iyapeleke nchini mwake, siyo kupandikiza kwenye mataifa mengine.
 
itakua aliacha mbegu sehemu zote alizowahi kukaa utumwani... myahudi hapo middle east mpaka ajemi ameshiaishi kama mtumwa kwa miaka mingi mno.. sasa nahisi aliacha mbegu zake kote huko na ndio zinamsaidia mpaka leo.
Kwa hiyo hawasahau au kupoteza utaifa wao hata kwa Karne kadhaa ? Je lugha unabakia au inapotea ,? Je dini inadumishwa au hufuata wenyeji walipozaliwa
 
Kupigwa ni kawaida kwenye vita
Ila unaangalia damage
Gaza ukipaona uhitaji kuuliza mara mbili kwa ule uharibifu same kwa syria

Ukiangalia tel aviv, jerusalem bado panapendeza hapana uharibifu kama gaza
Hawakuoneshi palipopigwa,kule mpakani na Lebanon hizbullah wamepatwanga sana mpaka raia wakahama,ulishawahi ona picha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…