Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Hawa watu wanataka kutengeneza personality cult ya Magufuli.

Huu ujinga ukomeshwe mara moja.
Mbona hatuna sanwmu la Mkapa anywhere nchini?
Sanamu ya Magufuli iwekwe kila uwanja wa ndege, KIA na Arusha pawekwe sanamu nne nne maana ndo kuna watalii wengi, pia Marangu sanamu moja, katikati ya mlima Kilimanjaro moja na sanamu za Magufuli mbili kileleni. Kusudi watalii warudi kwao wakiwa WAZALENDO.
 
Hawa ndio viongozi tulionao wasiothamini jasho la watu kwamba anajiona ana haki na Wana stahili Sana kulipwa salary kwa ushenzi na matumizi mabaya ya pesa kama hivi.

Hivi punde nimeona wanakijiji wanagombea maji na vyura ,afu wengine wanachezea pesa
Hii nchi ngumu sana aisee.
Tukija kushituka itakua nchi ya masanamu tu nchi nzima
 
Mambo ya kijinga ya hivi ndiyo tunayoweza kufanya.Unakuta hapo wamekaa kabisa vikao kujadili huo ujinga.watu wanawaza kumuenzi mtu kwa kujenga sanamu ambalo baada ya hapo halitakua na faida yoyote chanya zaidi ya watu kulishangaa baada ya miaka 2 hakuna mtu ambaye atakua na mpango nalo tena.Tuna ujinga mwingi sana kwa kweli.
 
Natarajia kuona watu fulani wakijinyonga kwa wivu wa kijinga na kipumbavu, kisa JPM kupewa baadhi tu ya hadhi yake

Shauri yao
Wewe ni mjinga.kwani sanamu lina nini cha maana duniani hapa hadi watu walionee wivu.Tumia akili zako.
 
We nawe hata sanamu unalionea wivu?

Kaaaah!
Unadhani ni kwanini lile la Saddam Hussein lilivunjwa? Tena kuna wananchi walilipiga na kulichapa na malapa yao na fimbo pindi tu liliposhuka chini na wao kuweza kulifikia. Walihisi kama vile mimi anamchapa Saddam mwenyewe.
 
A
Africa ya kusini wana sanamu ya kila raisi hivyo si Tanzania tu! Na katiba ya RSA ni nzuri sana. Hivyo chuki yako usiiendekeze itakufanya kipofu, kiziwi na jinga.
 
ukiendekeza sana shida haziishi sometimes fanya mambo mengine,yaani kila mshahara ukitoka we ni kulipa madeni tu khaa haiwezekani kamata totozi nzuri siku moja nawe uone upo duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…