Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanywe sumu na pia wananchi wanaomba iwekwe namba ya simu wachangie pia pesa ili kushiriki moja kwa mojaMatumizi mabovu ya fedha wananchi maskini.
Sote sisi ni takataka Mungu atatuondoa hakuna atakaye bakishwa ila wewe tu!Mungu ana maguvu sana,imagine alituondolea hii takataka!
Mwanamke mbeya wewe!!!!!Chadema mtakufa kwa pressure
Kupanga ni kuchagua...Hii ndio n nchi yangu bana
Wanakijiji cha LIANGWENI songea vijijini hawana hata zahanati toka nchi ipate uhuru na zinahtajika milioni 120 tu kumalizia jengo lao na vifaa mwaka wa tano Sasa hakuna msaada
Lakn sanamu lisilo na tija linajengwa kwa milion 450
😂😂😂😂 Ijengweee! Ijengweee!Lazima watu wapige , bro wangu kapewa tenda ya kusanifu mchoro , amekula mil 30 akanikatia mil 1.5 ..... Nasema hviiii hii sanamu ijengweeeee ma-mae
alisikika marehemu mmoja akisemaUtumwa ni kama huo wako wakushabikia mtu badala ya mifumo na sheria za nchi.Hakuna kiongoz mzalendo anayeweza kutaka aongoze yeye tu alafu akatumia kodi vile anavyotaka na hataki mtu mwingine amuulize.aliyoyafanya gadafi libya yanaweza kufanywa na mlibya yoyote kwasababu nchi ilikua na rasilimali.na pamoja na kwamba wametetereka ila libya bado ipo na itakuja kukaa vizuri zaidi uko mbele.wewe endeleza ujinga wakuabudu mtu anayekufa.Kwa kweli bado una akili ya kitumwa. Hakuna kiongozi mzalendo kwa Libya kama Gaddafi. Uliza hali ya Libya kabla na baada ya Gaddafi kuuawa bila kusahau kabla ya kuchukua nchi View attachment 1842514
Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Ni mpya ya leo. Kuna watu wajinga, wanafiki na nadhani ni hayawani pia, wameidhinisha sh 420m kujenga sanamu ya mwendazake viwanja vya maonesho ya kimataifa, Sabasaba.Hii ya lini tena jamani
Wanajenga sanamu ya Magufuli kwa gharama ya sh 420m.Mkuu kwani kuna nini?
Mm sijakuelewa kabisaa! Naona unalalamika tu. Serikali inajenga sanamu kwa ajili ya nani?
Naomba unijibu ili nianze kutapika nyongo.
Yupi alianza kufa?Linaanza la Magufuli, la Mkapa linakuja pia.
Bado kukatwa na narinda kabisa kwa ajiri yake,utakatwa huku unalia.kama hutaki jichinje.Daaahh.
Yaani nakatwa kodi kisha pesa wanajenga sanamu ya huyu mtu aliyelaaniwa na Mungu!!!
Chadema kama watu bado wapo,ila chadema kama chama hakipo.hivi chadema bado wapo? i thought walishakufa 2015.
Huo muda ukitumia kuvunja umasikini,unatoboa.Mungu wenu keshakufa..
Masanamu ya kujifariji tutayavunja Tu siku moja...itakua the end for good