Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Kweli kabisa itakuwa vizuri historia ya Rais wa Kwanza Tanzania kufa akiwa Madarakani.
 
WANGEJINGA DODOMA NDANI YA BUNGE [emoji1787][emoji1787]
 
mkuu wangu inahizunisha Sana Sana Hawa wapuuzi wanatuchukulia poa imagine watu mnawaweka madarakani halafu wanakua na jeuri hapo ndio naamini Hawa wapuuzi hua wanaingia madarakani Kwa njia zao chafu ndio maana hawahofii wananchi sababu wamejitungia sheria zinazowalinda wao na matumbo Yao!
 
Mama yangu amefunga duka lake la maharage
Kwakua tra wanalala na kuamkia dukani kwake wakitaka mapato
Pesa za jasho la watu wanaohangaika wanajengea masanamu!
Aise Africa kaz tunayo
 
Hiyo ipo sawa ambaye hataki atakuwa akipita anajifunika uso asiione full stop.
 
Kwahiyo nahapo kaamlisha mwendazake?
 
Usimlaumu ametumwa.
 
Miaka nenda rudi ni kutenga tu,
Nilifikiri wananchi wanafurahia huduma
 
Tenda ya kujenga hilo sanamu tumpe Hamisi Kigwangala.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…