Sasa hii ni mbaya zaidi!! Inajengwa na wapigaji kwa dhana ya uzalendoHata kina Gaddafi walijenga masanamu yao kwa gharama ila yaliishia kuvunjwa tena kwa fedheha kubwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii ni mbaya zaidi!! Inajengwa na wapigaji kwa dhana ya uzalendoHata kina Gaddafi walijenga masanamu yao kwa gharama ila yaliishia kuvunjwa tena kwa fedheha kubwa tu.
WANGEJINGA DODOMA NDANI YA BUNGE [emoji1787][emoji1787]Tunalo tatizo la elimu nchini, hatuna madawati ya kutosha, hatuna waalimu wa kutosha, hatuna vitendea kazi ikiwemo vitabu then yupo mtu amekaa wizarani huko amesoma sanaa na utamaduni anawaza kuidhinisha M420 kwa ajili ya sanamu kweli.
Hii imegeuka kuwa nchi ya sanamu Kama vipaumbele vyetu kweli? Kwamba tumeingia kwenye imani za sanamu kwa mabilioni ya Kodi za wananchi? We can't be serious. Kwamba tunakatwa pesa kwenye vocha na miamala mingine ili hizo fedha zikajenga sanamu?
Kwamba Mkapa 420 milion, sijui Nani mwingine akitutoka 420Milion, Mawaziri wakuu 220 milion, makawa wa Rais tuwajengee sanamu za milioni 300, Mawaziri milioni 150, wakuu wa Mikoa milioni 100, wakuu wa Wilaya 50milion? Ni hivi ndivyo tumejipanga kuiendesha nchi?
Lakini pia hizo fedha mbona hazipo kwenye bajeti ya serikali? Unaweza ukatamani kumpiga mtu rungu la kichwa atambae kwa mambo haya yakijinga unayoyasikia kutoka kwa watu wanaolipwa fedha za umma.
Hakuna anayewaza kuhusu maskini wote wanawaza matumbo yao na Sasa wameanza kuweka na utaratibu wakuhudumiwa hata wanapotwaliwa. Shame shame shame nchi masikini kutumia fedha za umma kwa mambo ya kijinga
Maswali ya kipumbavu kama haya kamuulize partner wa Magufuli Mama Samia,ambaye alisema uchumi umeshuka!.Eleza biashara halali iliyokufa kwasababu ya Magufuli.
😂😂😂😂😂🖕Bajeti iongezwe.....
View attachment 1842615
Nimecheka kinyamaBajeti iongezwe.....
View attachment 1842615
mkuu wangu inahizunisha Sana Sana Hawa wapuuzi wanatuchukulia poa imagine watu mnawaweka madarakani halafu wanakua na jeuri hapo ndio naamini Hawa wapuuzi hua wanaingia madarakani Kwa njia zao chafu ndio maana hawahofii wananchi sababu wamejitungia sheria zinazowalinda wao na matumbo Yao!Daraja la busisi kigongo,limepewa jina linaitwa daraja la Magufuli!! Stand ya mkoa wa dsm imepewa jina inaitwa stand ya Magufuli!! uko dodoma kwa wagogo kuna mji umepewa jina unaitwa magufuli city!! Bado uwanja wa ndege wa chato nao utaitwa Magufuli international airport!!! Bado hamjalidhika mkaona mchonge na sanamu la marehemu lenye thamani ya tsh milioni 480!! Kweli?? Kweli??
Hii nchi inaitaji viongozi wanaopitisha matumizi ya pesa kufanya maujinga kama haya wachomwe moto hadharani kabisa,hizo pesa zinakarabati barabara ngapi za tarura? Hizo pesa zinajenga mashimo mangapi ya choo za shule? Hizo pesa zinajenga madarasa mangapi? Hizo pesa zinajenga nyumba ngapi za waalimu? Hizo pesa zinanunua vitabu vingapi mashuleni? Hizo zinajenga nyumba ngapi za waalimu? Hizo pesa zinajenga nyumba ngapi za madaktali wetu uko vijijini? Jameni!!
Wamepitisha bajeti wameongeza tozo kwenye kila muhamala utakaofanya kwenye simu,wameongeza tozo kwenye kila lita ya mafuta ya petrol!!,wameongeza tozo kwenye kila lita ya mafuta ya dizel!! Wameongeza tozo kwenye kila lita ya mafuta ya taa!!sawa tumekubali tufunge mkanda wanasema pesa ni za kujenga barabara za mjini na vijijini, ndio watumie pesa zote hizo kujenga sanamu kweli?!
Sanamu litasaidia nini wananchi kutatua kero zao?! pesa zetu wananchi sio za kujenga masanamu,pesa zetu ni za kujenga nchi yetu!! Viongozi wamekaa kwenye hizo nafasi wamevimbiwa mpaka wanaamua kujengeana masanamu! Tutakuja kumtia kiongozi kitu cha sanda mchana kweupe ili iwe fundisho kwa wajinga wenzake shwain.
Jee tuna maamuzi na matumizi ya pesa za kampuni binafsi.? Au tunaandika tuu kwa kuwa uhuru wa habari.Matumizi mabovu ya fedha wananchi maskini.
Hili la Magufuli hakuna mbwa wa kulivunja!Hata kina Gaddafi walijenga masanamu yao kwa gharama ila yaliishia kuvunjwa tena kwa fedheha kubwa tu.
Hizi ni pesa zetu za kodi?
Kwahiyo nahapo kaamlisha mwendazake?Hii ndio n nchi yangu bana
Wanakijiji cha LIANGWENI songea vijijini hawana hata zahanati toka nchi ipate uhuru na zinahtajika milioni 120 tu kumalizia jengo lao na vifaa mwaka wa tano Sasa hakuna msaada
Lakn sanamu lisilo na tija linajengwa kwa milion 450
Usimlaumu ametumwa.Edwin Rutagaruka ni kubwa jinga fulani hivi, naona hata kinyaa kumuita Balozi😓😓
Nakumbuka kuna msichana mmoja hivi alimkataa pale Tan Trade kwa kuondoa shari yule binti aliamua kuacha kazi na kuhamia taasisi ingine.
Cha kushangaza, huyu Edwin alidiliki kwenda kwa yule Mkuu wa taasisi alikopata kazi yule binti na kuanza kumsema vibaya kwa maana ya kutaka kumharibia yule binti.
Kwa jinsi yule boss mpya alivyokuwa fair akamwambia yule binti na akayatupilia mbali ma-umbea ya bwana Edwin!!!
Huyu Edwin hafai hafai kabisa, ana taswila mbovu mbele ya jamii!!
Miaka nenda rudi ni kutenga tu,Nadhani wewe si mwenyeji wa huko na naamini huishi huko, vinginevyo, unapaswa kujua kuwa hicho kijiji cha Liangweni kimetengewa fedha kiasi cha shilingi 210milioni kwa ajili ya hiyo zahanati, madawa na vifaa tiba. Kama hujui cheki na Mbunge wako au TAMISEMI.
Hapana wamechua sehemu ya mafao ya Hayati JPMHizi ni pesa zetu za kodi?