Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

CCM nadhani kuna matambiko wanafanya ili tuwe mazezeta. Ule Mwenge si bure
 
Sijui ni kwa nini inapotoshwa habari hii. Sababu kiasi kinachotajwa ni gharama itakayotumiwa kutekeleza mambo manne. Ujenzi na ukarabati wa kumbi tatu na ujenzi wa Sanamu. Fedha hii si ya kutoka hazina bali udhamini wa NBC kwa TANTRADE kama wafadhiri na ndio maana ya kusainiwa MoU trh 5/7/2021
Kuonyesha M420 zinatumika kutengeneza sanamu pekee ni upotoshaji.
 
Wanafunzi wanakaa chini, huduma za tiba ni mbovu, barabara mbovu, hakuna maji safi na salama, halafu watu wanataka kutumia mabilioni ya pesa zetu za kodi kulipana posho eti kwa sababu wanataka kuandika katiba. Huu kama siyo uzwazwa ni kitu gani kweli?
 
Hakuna alieturoga, ukatae ukubali, Mwendazake ameacha alama! Sanamu yake ni sahihi tena iwekwe makumbusho ya taifa.
 
Tutaiporomosha chini siku tukipata uhuru wa kweli. Hiyo ilipata kutokea kule Iraq. Masanamu ya Saddam Hussein yalivunjwa yote.
 

Wanao upanga huu utumbo ufanyike, utakuta sheria zinawalinda wao wasitozwe kodi yeyote ile. Wanaendeshwa ndani ya viiieeete na ving'ora juu yaani..!

Cha kustaajabisha hawasemi wametumia vigezo gani kumjengea Magufuli sanamu lakn hawajamjengea Mkapa. Na sijui sanamu ni kwa waliofariki tu peke yake, maana tungehoji kwann wamemruka Mwinyi na Kikwete.

Yote tisa, ila kumi wanaofanya hivyo ni wale wateule wa Magufuli kwa lengo la kujinasibisha na legacy yake, ili Mzizi uliojichimbia chini zaidi ujifikirie mara mbilimbili kuwatengua. Endapo SSH angepiga baraza lote la mawazir chini na kuanza kupanga safu yake upya hii hali isienge kuwapo.
 
Tulipebkodi ili wachache wazitumie kwa manufaa yao binafsi kama hao wanaojijengea masanamu. Wameona mahekalu hayatoshi sasa wameamua kujifanyizia masanamu
Tulio bakia ndio tujitafakari why Mwendazake vipi Mkapa? Vipi ma Eais wengine ?
 
Tunaambiwa mchawi wetu alishakufa
 
wewe ndo mpumbavu, kinachokuumiza ni kitu gani kujengwa hilo sanamu?

fyatu la Chadema wewe!
Wewe ndo pumbavu zaidi.Huna jambo la maana unalowaza zaidi ya kupanua miguu.shwain
 
Kabla ya hili sanamu wahakikishe pia Grave la mzee limejengwa hata kwa kuweka Library pale Chato alipozikwa, Mimi naona hio statue ijengwe tu mana mzee amefanya makubwa Na ameacha alama
 
Bavicha mna wivu na sanamu sasa, mlianza kuonea wivu maiti...dah
Nani awe na wivu na kinyago?.Watu wanawaza mambo ya msingi sio huo ujinga.Ila kwavile nyie mnawaza mambo ya kipuuzi mkizani mnawakomoa chadema huo sasa ni ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…