Tunalo tatizo la elimu nchini, hatuna madawati ya kutosha, hatuna waalimu wa kutosha, hatuna vitendea kazi ikiwemo vitabu then yupo mtu amekaa wizarani huko amesoma sanaa na utamaduni anawaza kuidhinisha M420 kwa ajili ya sanamu kweli.
Hii imegeuka kuwa nchi ya sanamu Kama vipaumbele vyetu kweli? Kwamba tumeingia kwenye imani za sanamu kwa mabilioni ya Kodi za wananchi? We can't be serious. Kwamba tunakatwa pesa kwenye vocha na miamala mingine ili hizo fedha zikajenga sanamu?
Kwamba Mkapa 420 milion, sijui Nani mwingine akitutoka 420Milion, Mawaziri wakuu 220 milion, makawa wa Rais tuwajengee sanamu za milioni 300, Mawaziri milioni 150, wakuu wa Mikoa milioni 100, wakuu wa Wilaya 50milion? Ni hivi ndivyo tumejipanga kuiendesha nchi?
Lakini pia hizo fedha mbona hazipo kwenye bajeti ya serikali? Unaweza ukatamani kumpiga mtu rungu la kichwa atambae kwa mambo haya yakijinga unayoyasikia kutoka kwa watu wanaolipwa fedha za umma.
Hakuna anayewaza kuhusu maskini wote wanawaza matumbo yao na Sasa wameanza kuweka na utaratibu wakuhudumiwa hata wanapotwaliwa. Shame shame shame nchi masikini kutumia fedha zsa umma kwa mambo ya kijinga